検索ワード: kublogu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kublogu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

ghana: siku ya kublogu mwaka 2009

英語

ghana: blog action day ’09 · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kipindi cha majadiliano juu ya maadili ya kublogu

英語

a breakout session on blogging ethics

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kublogu ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku.

英語

blogging is a part of our daily life.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

redio zamaneh inatokana na, na kuhamasishwa na kublogu.

英語

radio zamaneh is derived from and inspired by blogging.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bangladeshi: ku-twita na kublogu tetemeko la ardhi

英語

bangladesh: tweeting and blogging an earthquake · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

warsha moja, iliyoendeshwa na hamzoz, ilimakinikia kublogu kuotkea iraq.

英語

one workshop, conducted by hamzoz, focused on blogging from iraq.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, ulimwengu wa kublogu nao hauko mbali katika hilo.

英語

however, the virtual world in blogs is also not alien from this.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jumamosi habari nyingi zilijitokeza wakati abiria walipoanza kublogu kuhusu yaliyowakuta.

英語

saturday revealed more first-hand information when passengers started blogging about their experiences.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hawazimiliki tena nyumba hizo? hii ndiyo sababu ya kusisimka kwa waghana kublogu.

英語

they don't own those anymore?this is why i'm excited about ghanaians blogging.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alihisi kuwa kwa kumpiga ilikuwa kama onyo, lililokuwa na lengo la kumfanya asiendelee kublogu.

英語

he feared beating was a threat, intended to make him stop blogging.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kila mtu ana mapambano yake – na nadhani kublogu ni aina ya matibabu na kisingizio cha ubinafsi.

英語

everyone has their own battle that they are tackling - and well i suppose blogging really is a form of therapy and an excuse to self indulge.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini kama kweli kublogu kwake kunachangia lolote katika vurugu za kidini na chuki bado haujadhibitishwa.

英語

but whether his blogging has anything to do with inciting religious violence and hatred is yet to be proven.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

au hiki kinachoonekana kuwa kushuka kwa kublogu ni kwa sababu ya kubadilika kwa utamaduni na uandishi wa kiraia?

英語

or is what appears to be a gradual decline in blogging simply because of social media and changing norms?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

beza tesfaye anaelezea kwa nini kublogu ni tishio kwa serikali ya ethiopia kufuatia kukamatwa kwa wanablogu tisa ethiopia:

英語

beza tesfaye explains why blogging is a threat to the ethiopian government following the arrests of nine ethiopian bloggers:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika siku za mwanzo za kublogu, wanablogu wataka mabadiliko wa iran walikuwa maarufu sana kwenye vyonbo vya habari vya kimataifa.

英語

in the early days of blogging, iran's reformist bloggers were widely celebrated in international media.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

afkinsider imeandaa mashindano ya kublogu ambapo mwanablogu bora kila mwezi atahitajika kuandika hadithi ya kulipiwa kila wiki kwa afkinsider mwezi ujao:

英語

afkinsider is hosting a blogging competition where the best blogger every month will be asked to write a paid weekly story for afkinsider the next month:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hadithi nyingine ya kunusurika ilichapishwa na mwanablogu pancakyes katika huduma nyingine ya kublogu ya kirusi ya.ru. behewa lake halikuharibiwa na mlipuko.

英語

another survival story was published by a blogger pancakyes on another russian blogging service ya.ru . her train car was not damaged by the explosion.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

haidhuru, ory anafikiri kuwa kublogu ni jambo muhimu – kama si jambi linalobadilisha – kwa idadi ndiogo ya waafrika wanaoblogu.

英語

nonetheless, she thinks blogging is important – if not transformative – for the small number of africans who do blog.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

atnaf berhane, mmoja wa wanablogu wanaounda kundi la wanablogu wa zone 9, amefungwa gerezani kwa sababu ya kublogu kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini ethiopia.

英語

atnaf berhane, member of the zone 9 bloggers, was jailed for blogging about human right violations in ethiopia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tunaona utamaduni wa vijana wa ki-irani kama utamaduni ambao unakuzwa kwenye blogu na tunafanya juhudi kuwezesha mtindo usio na ukiritimba wa kublogu uwe ni mtindo wa utengenezaji habari.

英語

we see iranian youth culture as a culture promoted by blogs and we are working to make the informality of blogging a trend in media making.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,749,174,618 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK