プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
kujiamini nn
self confidence
最終更新: 2024-06-20
使用頻度: 1
品質:
参照:
kujiamini vya kutosha
confident enough
最終更新: 2024-05-08
使用頻度: 1
品質:
参照:
kujiamini zaidi kazini
more dedication to work
最終更新: 2020-08-26
使用頻度: 1
品質:
参照:
muziki huo umejaa majivuno na kujiamini.
the music is full of pride and confidence.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
kizazi kipya kinajivunia kitu kiitwacho kujiamini
the new generation has a pride called confidence
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
kwa wengine inaweza kuwa ni elimu, wengine tabia ya kamari au ulemavu au kujiamini.
for one it may be about education, for another about a gambling habit or a handicap or of self-esteem.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
kwa kujiamini na kwa uhakika, dola ya bahrain inapiga hatua kuelekea katika mafanikio makubwa kabisa kwa mwaka 2013.
the kingdom of bahrain is confidently and surely heading towards the brightest future in 2013.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
mbali na kutufanya tuwe jamii yenye kujiamini, yenye ubunifu ambayo iko tayari kujaribu mambo mapya na kunufaika na majaribio hayo, imetufanya tuwe waoga wa kujaribu na wenye mashaka kiasi.
far from making us a confident, innovative society willing to try new things and benefitting from experimentation, it has made us risk-averse and slightly paranoid.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
kwa maoni yangu binafsi, shirika la sony lilitoa madai hayo kwa kujiamini mno, kwa sababu kinga inayotolewa wakati wa usajili wa nembo huwa inahusu aina fulani tu ya bidhaa iliyo chini ya nembo husika.
in my humble opinion, sony corp. have been over confident in making the said demand, because protection given by trademark registration is limited to certain types/kinds of products covered by said trademark.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
mama – sio tu neno lingine lolote katika kamusi. inajumuisha hisia mbalimbali – upendo, uvumilivu, uaminifu, na mengi zaidi. kote ulimwenguni, bila kujali nchi au eneo, watoto wana mapenzi maalum kwa mama zao. mama sio tu anazaa watoto wake, lakini pia huunda akili zao, utu wao, na kujiamini kwao. na wakati wa kufanya hivyo, akina mama hujitolea bila ubinafsi mahitaji na matarajio yao binafsi.
mother – is not just any other word in the dictionary. it encompasses a whole range of emotions – love, patience, trust, and a lot more. across the world, irrespective of country or region, children have a special affection for their mothers. a mother not only gives birth to her children, but also shapes their mind, their personality, and their self confidence. and while doing so, mothers selflessly sacrifice their own personal needs and aspirations.
最終更新: 2022-06-20
使用頻度: 1
品質:
参照: