検索ワード: madhara ya kuridhika na wokovu tulionao (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

madhara ya kuridhika na wokovu tulionao

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

madhara ya chainizi

英語

side effects of chain reaction

最終更新: 2020-08-20
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

madhara ya vita kwa vijana

英語

the effects of war on youth

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

muswada unasema kwamba madhara ya ushoga ni pamoja na:

英語

it states the ill effects of homosexuality as:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

madhara ya vita kwa watoto wa syria:

英語

consequences of war on syrian children:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

zaidi, utoaji mimba una madhara ya afya ya kisaikolojia na kimwili kwa wote waliohusika.

英語

moreover, abortions have negative consequences on the psychological and physical health of all those involved.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

madhara ya vita kwa vijana yamewekwa vizuri kwenye kumbukumbu.

英語

the effects of the war on children are well documented.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

uwezekano wa kupatwa na madhara ya kiafya ni mkubwa kiasi gani?

英語

how high is the risk?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

vikiachwa bila kuangaliwa hivi vitu vina uwezo wa kuwa na madhara ya kudhoofisha kukua kwa uchumi wetu.

英語

left unchecked these can have debilitating effects on our economic growth.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa sasa, filamu mpya iliyojipatia tuzo inatazamia kuelezea madhara ya mtu mmoja mmoja ya raia wa kawaida yatokanayo na vita vya nchini syria.

英語

now an award-winning new film is seeking to bring home the personal consequences of the war for ordinary people.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hawa ni watoto ambao huamini kwamba hatua ni kuhamasisha vita bila kuwa na ufahamu wa madhara ya vitendo vyao.

英語

these are gullible kids who beleive that the point is encouraging violence withour being aware of the consequences of their acts.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwaka mmoja uliopita, harakati hizo zilizoanza kule morelos ziliwatia moyo maelfu ya raia wa mexico kushutumu madhara ya vita na kutunza kumbukumbu hai za maisha ya wahanga.

英語

one year ago, the movement that was born in morelos inspired thousands of mexicans to denounce the effects of the war and to bring to life the stories of the victims.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

madhara ya kulipuka kwa ugonjwa huu katika eneo la afrika magharibi tayari yanaonekana kwa kudorora kwa uchumi wa gambia ukiacha matatizo ya kiafya yanayoweza kujitokeza kama ugonjwa utaenea na kuingia gambia.

英語

the impact of the ebola outbreak in west africa already having dire economic consequences to the gambia not to mention the potential health implications if the disease were to spread into the gambia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

idara ya afya ya umma ya california inataka kuweka uthabiti katika jimbo lote ili kuhakikisha kwamba tunapunguza madhara ya covid-19.

英語

the california department of public health looks to establish consistency across the state in order to ensure that we mitigate the impact of covid-19.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

bado tukiwa bahraini, sohail al gosaibi ananusa njama kwenye hewa, anaona kwamba kukuza sana madhara ya mafua ya nguruwe kunayanufaisha mashirika ya habari, watangaza biashara na viwanda vya madawa.

英語

still in bahrain, sohail al gosaibi smells a conspiracy in the air, noting that exaggerating the effect of swine flu benefits the media, advertising and pharmaceutical industries.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

badala ya serikali kusikiliza matakwa yao na kuzingatia suala la kutokuwa na hali nzuri ya ulinzi pamoja na madhara ya uharibifu wa mazingira unaotokana na mitambo hii ya nyuklia. serikali imewajibu waandamanaji kwa kutumia njia ya ukandamizaji wa kikatili kabisa.

英語

the government instead of responding to their just demands and concerns for the immense security risk and the environmental hazard that this plant can cause on the surrounding area, has responded with the most cruel repression on the protesting masses.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

blogu inayotokea brunei, the world according to panyaluru …, pia inaonyesha kuridhika na vyoo kwa kuliweka suala hili kwenye muktadha sawia:

英語

a blog from brunei, the world according to panyaluru ..., also shows appreciation for the toilet by putting it into perspective:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kutoka sera za kuimarisha mifumo ya afya na uchumi wa dunia kushughulikia madhara ya kufungwa kwa shughuli za kawaida kwa muda na vikwazo vya usafiri, kituo cha kidijitali ina ufuatiliaji wa sera za nchi, na inalenga kusaidia nchi kujifunza kutoka nchi zingine na kuwezesha mwitikio uliopangwa wa kimataifa kwa changamoto ya virusi vya korona.

英語

from policies to strengthen health systems and the world economy to addressing the effects of lockdown and restrictions on travel, the digital hub includes a country policy tracker, and aims to help countries learn from each other and to facilitate a co-ordinated global response to the coronavirus challenge.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

takriban asilimia 20-30 ya watu wenye covid-19 wanaonyesha vimeng'enya vingi vya ini (viwango vya juu vya madhara ya ini)

英語

approximately 20-30% of people who present with covid-19 demonstrate elevated liver enzymes (transaminases).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tangu mechi za kombe la mabara, watazamaji walilipuliwa kutokea pande zote za uwanja na kelele zenye-kutikisa dunia za vuvuzela.zaidi ya madhara ya kiafya ya masikio na maumivu ya kichwa, bidhaa nyingine itokanayo na upulizaji wa kifaa hiki ni mkusanyiko mkubwa wa mate.

英語

from last week’s confederations cup matches, spectators were blasted from all directions by the earth-shattering noise of the vuvuzela. in addition to the health hazards of ringing ears and thundering headaches, a by-product of mindlessly blowing on this instrument is the accumulation of a huge amount of saliva.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kizazi kimoja baada ya kingine, huu ndio utamaduni wetu wa jadi: utawala wa mabavu, utawala wa amri pamoja na kukosa uvumilivu wa upinzani, madhara ya utamaduni yanaenda kutushinda, demokrasia inaweza kuwepo baada ya karne moja zaidi.

英語

one generation after another, this is our traditional culture: dictatorship, authoritarianism, and intolerance of opposition. the burdens of tradition are way too heavy; democracy might be another century away.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,777,821,137 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK