検索ワード: mawaziri (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mawaziri

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mawaziri waliokwishajiuzulu ni pamoja na…

英語

the ministers who have left are…

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

usiachie ngazi!) na manaibu mawaziri watatu.

英語

don’t go!) including 3 deputy ministers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uganda: mke wa rais ateuliwa kwenye baraza la mawaziri

英語

uganda: president's wife appointed to cabinet · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanablogu kondwani munthali ameshatoa baraza lake la kufikirika la mawaziri.

英語

blogger kondwani munthali has already provided his dream cabinet list.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mawaziri wengine kadhaa wamekamatwa ama mali zao ambazo zinashukiwa kupatikana isivyo halali zimechukuliwa.

英語

several other former cabinet ministers have since been arrested or have had their properties suspected to have been corruptly obtained, seized.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

waziri wa fedha trevor manuel ni miongoni mwa mawaziri 11 na manaibu watatu waliotangaza kujiuzulu.

英語

finance minister trevor manuel is among 11 cabinet ministers and three deputy ministers who have resigned.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mtandao wa tananews nchini madagascar umechapisha orodha kamili ya mawaziri 31 wa serikali mpya ya madagaska .

英語

tananews in madagascar has published the full list of the 31 members of the new malagasy government .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

rais michael sata akisemekana kuhutubia kikao cha baraza la mawaziri mara aliporudi kutoka israel alikokuwa amelazwa hospitali.

英語

president michael sata reportedly addressing a cabinet meeting upon his return from israel where he was admitted to a hospital.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

labda hata mawaziri washirikiane vyoo na wafanyakazi wengine wa serikali na hapo ndipo nitakaposema wanasiasa wetu wanatenda wasemacho!

英語

perhaps even ministers should share the same toilets as other government staff and that’s when i would really say our politicians are walking the talk!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mitsangana madagascar anasema kwamba orodha hiyo ina wanawake 6 na kuwa mawaziri 7 walikuwa kwenye baraza la serikali iliyopita ya mpito.

英語

mitsangana madagascar notes that the list includes 6 women and that 7 ministers were already part of the previous transitional government.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofanyika mwezi februari yanawapa wanablogu wa uganda fursa ya kubashiri matokeo ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2011.

英語

february's cabinet reshuffle has ugandan bloggers making 2011 election predictions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

aliporudi lusaka, ikulu ilijaribu kumwonyesha akiendelea na majukumu yake ya kazi kama kawaida na hata kuchapisha picha zake akiongoza kikao cha baraza la mawaziri.

英語

upon his return to lusaka, the president’s office tried to show him as working normally and even posted pictures of him chairing a cabinet meeting.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

awali, serikali ilikanusha tetesi zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya mawaziri kuhusiana na kuzorota kwa afya yake, ikisema kwamba sata alikuwa imara na akiendelea na kazi.

英語

in the past, his administration has denied rumors by cabinet members about his declining health, maintaining that sata was fine and busy at work.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huenda hawakutaka kukiri ukweli kwa sababu katiba inataka kuondolewa madarakani kwa kiongozi, ikithibitishwa na baraza la madaktari kwa ombi la baraza la mawaziri, kwamba afya yake ina matatizo.

英語

they probably did not want to admit the fact because of a constitutional clause which calls for the removal of the office holder, once declared unfit by a medical board if called by cabinet.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata kama itafikiriwa kuwa mawaziri wanaoratibu mkakati huu wa sasa wanafanya udanganyifu makini wa wazi, waangalizi wa zamani katika baraza la mawaziri bado wanaweza kupiga kura ya turufu kuhusiana na matokeo ya mpango huo.

英語

even if it is assumed that the ministers leading the current initiative are of a keenly liberal bent, the older guards in the cabinet remain likely to have a veto over the final product.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mtazamo wa haraka, mheshimiwa rais yoweri hatimaye amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri, jambo ambalo limekuwa kwenye minong'ono kwa zaidi ya miezi sita sasa.

英語

takinfg the cue, h.e president yoweri finally made the cabinet reshuffle that had lingered in the grapvine for over six months.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bado haijajulikana iwapo ataamua kurefusha mkataba wa kampuni ya kuchimba mafuta, kitu ambacho kitakuwa kinyume cha matakwa ya baraza lake la mawaziri, hasa kwa waziri wa mazingira luis ferraté, ambaye anapinga kabisa urefushwaji wa mkataba huo.

英語

it is still uncertain whether he will extend the contract to the oil company, which may go against the will of members of his own cabinet, as is the case with luis ferraté, the minister of the environment who is not in favor of extending the contract.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

correa aliianza awamu yake ya tatu katika bunge akishuhudiwa na wakuu wa nchi kadhaa za marekani ya kusini na ulaya, wawakilishi wa kimataifa, wabunge, mawaziri, wanafamilia wake na wanachama wa chama tawala cha alianza pais.

英語

correa took on his third term at the national assembly before the heads of state of different latin american and european countries, international delegations, assembly members, ministers, family members, and members of the governing party alianza pais.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

asasi hiyo imetengeneza filamu za video fupi-fupi zenye nguvu kama ile ambayo mcheza filamu wa kike wa bollywood sonam kapoor anpodokeza kwamba wastani wa mpiga kura nchini india ni miaka 23, wakati ambapo wastani wa umri wa mawaziri katika bunge la nchi ni miaka 62.

英語

the ngo has created powerful short video clips like this one where bollywood actress sonam kapoor points out that average age an indian is 23 years old, while the average age of a a cabinet minister in the federal governmnet is 62 years old.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"baadhi ya mawaziri waliamua kuwa walikuwa wazee sana kuanza kujifunza kutumia kompyuta, na hawakuonyesha hamu yoyote." katika visa vingine hata wasaidizi wenye umri mdogo hawakuwa wanafamu jinsi ya kujiandikisha, “kwa hiyo kifaa kiko pale... kinakufa," anasema bw.

英語

"some of the ministers apparently decided they were too old to learn to use a computer, and so they showed no enthusiasm."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,779,345,467 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK