検索ワード: mbaya sana kabisa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mbaya sana kabisa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

nakupenda sana kabisa

英語

me too

最終更新: 2023-05-07
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu wana roho mbaya sana

英語

wenye roho mbaya

最終更新: 2024-01-25
使用頻度: 7
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

“ah ni mbaya sana; ah yatia huzuni sana;

英語

“oh it’s too bad; oh it’s too sad;

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama huo ndio utamaduni pekee ambao afrika kusini inao, basi hali n mbaya sana.

英語

if that is the only culture south africa has to share, that is pretty bad.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wengi wao wakiwa ni wakazi wa kijiji masikini cha chapra, walilazwa hospitalini kufuatia hali zao kuwa mbaya sana.

英語

many more in the poor, rural village of chapra were hospitalized in serious condition.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hili kwa bahati mbaya sana haliwezi kusemwa kwa wasanii wengi wengine wa afrika mashariki kwa sababu sikuweza kupata blogu yoyote ya msanii mwingine.

英語

this unfortunately cannot be said of many other east african artists as i could not find any other artist blog.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

anna mpenzi wangu naomba utambue nakupenda sana na leo umenifanya sikuyangu iwe mbaya sana na leo nimeamini nakupenda sana hadi nakosea meseji namtumia mama kweli?

英語

anna mpenzi wangu naomba utambue nakupenda sana na leo umenifanya sikuyangu iwe mbaya sana na leo nimeamini nakupenda sana hadi nakosea meseji namtumia mama kweli?

最終更新: 2023-11-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hizi pengine ni nyakati ngumu kublogu kuhusu mada tete –jambo ambalo kwa bahati mbaya sana waandishi wengi wa global voices katika nchi nyingine nyingi wanakabiliana nalo.

英語

these are particularly chilling times to blog about controversial subjects - something global voices authors in many other countries unfortunately also experience.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kutokana na haya, plasma iliyokusanywa kutoka kwa damu za kikundi cha wagonjwa ambao walipona kutokana na covid-19 ilitumika kuwadunga wagonjwa 10 waliokuwa katika hali mbaya sana.

英語

based on this, plasma was collected from the blood of a group of patients who recovered from covid-19 and was injected into 10 seriously ill patients.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ninasikitika sana pamoja na wahanga wa mashambulio ya kinyama ya leo na jana, na ninasikitika na wale wote wanaathirika na ubaguzi mbaya sana unaotokana na matendo ya wauaji wa halaiki na kushindwa kwa sisi wanadamu kujiona kwa utambulisho mmoja.

英語

my thoughts are with all the victims of today’s and yesterday's horrific attacks, and my thoughts are with all those who will suffer serious discrimination as a result of the actions of a few mass murderers and the general failure of humanity’s imagination to see itself as a unified entity.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika nchi zinazostawi hasa ambapo watekelezaji sheria wamefunzwa vibaya, utekelezaji wa amri ya kutotoka nje, kusitishwa kwa shughuli za kawaida au amri za kukaa nyumbani huwa mbaya sana, mara kwa mara hao hutumia nguvu zisizofaa kwa umati.

英語

particularly in developing countries where law enforcement are poorly trained, enforcement of curfew, lockdown or stay-at-home orders are often brutal, often using forces not proportionate against crowds.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya saa za mchana kupita, habari zilianza kuenea kupitia mitandao ya kijamii kwamba hali ilikuwa mbaya sana kwenye kituo cha kibiashara cha westgate, eneo moja wapo maarufu kwa wageni na wa-kenya wa tabaka la kati.

英語

shortly after noon, news started trickling through the social network that something had gone horribly wrong at westgate mall, one of nairobi's most popular locations for foreigners and middle-class kenyans.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wagonjwa wa covid-19 wanasambaza virusi hata wakati hawaonyeshi dalili zozote huku wagonjwa wa sars wakiwa wanafanya hivyo wakiwa katika hali mbaya sana, jambo linalosababisha ugumu zaidi wa kudhibiti kuenea kwa covid-19 kuliko sars.

英語

covid-19 patients transmit the virus even when they are symptomless whereas sars patients do so usually when they are severely ill, which causes much greater difficulty to contain the spread of covid-19 than sars.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

"ni bahati mbaya sana, lakini kwa miaka kadhaa sasa ni kama tumeanza kuzoea, kwamba wa-kristo na wa-islam hawapatani," anasema ibanga.

英語

"it's unfortunate, but over the years we sort of got used to it, that christians and muslims don't get on well together," ibanga says.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

uko mbali sana na nakukumbuka sana kwamba njia pekee ya kupunguza maumivu yangu ni kwa kukuandikia barua hii. wakati mwingine nadhani itakuwa nzuri kama tunaweza kuhifadhi hisia fulani katika "sanduku" kidogo... nitaelezea: sio mbaya sana kumkosa mtu kila wakati, lakini inaumiza sana wakati mwingine na kutokuwepo kunakuwa kusikoweza kuvumilika. hivyo ndivyo ninavyohisi sasa hivi, na hiyo ndiyo hisia ambayo ningependa kuweka kwenye sanduku salama au kwenye sanduku lenye harufu nzuri ambalo ningeweza kufungua haraka sana mara kwa mara

英語

you are so far away and i miss you so much that the only way to ease my pain is by writing you this letter. sometimes i think it would be great if we could store certain feelings in a little "box"... i´ll explain: it´s not so bad to miss someone every now and then, but it hurts too much sometimes and the absence becomes unbearable. that´s how i´m feeling right now, and that´s the feeling i would like to keep in a safe or in a little scented box that i could open really quickly from time to

最終更新: 2022-03-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,782,053,439 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK