プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
mgongano wa jumbe hizo umepelekea kutokuwepo kwa uhakika na kuchanganyikiwa.
the clash of messages has led to uncertainty and confusion.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
kupigwa marufuku burqa huko ufaransa: mgongano wa kiutamaduni wafunuliwa
the french burqa ban: culture clash unveiled
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
hata vivyo, rachna aliwakumbushas watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaoshiriki kwenye midahalo ya kisiasa kuheshimu hali ya mgongano wa mawazo:
however, rachna reminded cambodian netizens participating in political debates to respect diverse views:
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
mara nyingi huwa wanaishia kuwatukana wengine pale kunapotokea mgongano wa kimawazo. wanaamini kuwa wana uhuru wa kukiunga mkono chama fulani-lakini hawaheshimu haki ya watu wengine ya kukiunga mkono chama kingine.
they normally end up cursing others for having opposite ideas they believe they have freedom to support a party - but they don't respect others' freedom to support a different party.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
shauri la kwanza kusikilizwa katika kesi ya dk al-khadar lilifanyika mnamo februari 20, alipomwomba hakimu kujitoa kwenye shauri hilo kwa sababu ya mgongano wa zamani wa kimaslahi aliwahi kuwanao, lakini hakimu aligoma.
the first hearing session in dr. al-khadar's trial was on february 20th, when he asked the judge to withdraw from the case because of a previous personal conflict that they had had, but the judge refused.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。