プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
napenda mjue jinsi ninavyofanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, kwa ajili ya watu wa laodikea na kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona kwa macho.
for i would that ye knew what great conflict i have for you, and for them at laodicea, and for as many as have not seen my face in the flesh;
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
amri zake zinashuka baina yao, ili mjue kwamba mwenyezi mungu ni mwenye uweza juu ya kila kitu, na kwamba mwenyezi mungu amekizunguka kila kitu kukijua vilivyo kwa ilimu yake.
[his] command descends among them so you may know that allah is over all things competent and that allah has encompassed all things in knowledge.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
mwenyezi mungu ameifanya al kaaba, hii nyumba tukufu, ni simamio la watu, na kadhaalika miezi mitukufu, na wanyama wa dhabihu, na vigwe. hayo ili mjue ya kwamba mwenyezi mungu anayajua yaliyomo mbinguni na yaliyomo katika ardhi, na ya kwamba mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.
allah has made the ka'bah the sacred house, as an establishment for people; and the sacred month, and the offering, and the necklaces, in order that you know that allah has knowledge of all that is in the heavens and the earth; and that allah has knowledge of all things.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質: