プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
hapo awali ninyi mlikuwa mmemwasi mungu, lakini sasa mmepata huruma yake kutokana na kuasi kwao.
for as ye in times past have not believed god, yet have now obtained mercy through their unbelief:
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
sasa mnaweza kuona matokeo ya kuona huzuni jinsi mungu atakavyo: ninyi mmepata kuwa sasa watu wenye jitihada, wenye hoja, mnashtuka na kuogopa, mna bidii na mko tayari kuona kwamba haki yatekelezwa. ninyi mmethibitisha kwa kila njia kwamba hamna hatia kuhusu jambo hili.
for behold this selfsame thing, that ye sorrowed after a godly sort, what carefulness it wrought in you, yea, what clearing of yourselves, yea, what indignation, yea, what fear, yea, what vehement desire, yea, what zeal, yea, what revenge! in all things ye have approved yourselves to be clear in this matter.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質: