プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
kituo cha hifadhi ya tembo kinajitofautisha na mashirika mengine ya utalii wa tembo kwa kuwatunza tembo kwa kuwajengea mazingira mazuri ya kuzaliana, uangalizi makini na wa karibu, matibabu na uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.
elephant conservation center differentiates itself from elephant tourist camps by being a haven for elephant reproduction, lactation, convalescence and disease diagnosis.
mnamo mwaka 2009, watu wa dominika walisimama kidete kukipiga vita kiwanda cha sementi ambacho kilikuwa kianzishwe katika hifadhi ya taifa ya los haitises.
in 2009, the dominican people stood up to fight against a cement factory that would be installed in the los haitises national park.
baada ya karibu miezi mine na nusu, alex wiens amehukumiwa kifungo cha maisha, bila ya matarajio ya kuachiwa mapema kabla ya kifungo kumalizika.
after nearly four and a half months, alex wiens has been sentenced to life imprisonment, without a possibility for early release.
chenda pia aliweka wazi kwamba serikali ilikuwa inachukua hatua za kutayarisha mipango wa muda mrefu ywa kujenga maghala ili kuondoa tatizo la kupotea kwa chakula kingi chini ya shirika la hifadhi ya chakula.
chenda also revealed that the government was putting in place programs to build additional storage facilities as a long-term measure to avoid wastage under the food reserve agency (fra).
mwezi mei, benki ya dunia iitaka serikali ya zambiakutokuingilia upangaji wa bei ya unga wa mahindi unaouzwa na wakulima kwa shirika la hifadhi ya chakula la nchi hiyo na wadau wengine katika sekta ya uchumi wa kilimo.
in may, the world bank urged the zambian government not to interfere in determining the floor prices of maize sold by farmers to the food reserve agency and other interested parties in the agri-business chain.
kumbukeni pale mlipo kuwa nyinyi kwenye ng'ambo ya karibu ya bonde, na wao wakawa ng'ambo ya mbali, na msafara ulipo kuwa chini yenu.
(and remember) when you (the muslim army) were on the near side of the valley, and they on the farther side, and the caravan on the ground lower than you.