検索ワード: zinazotumwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

zinazotumwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

zipuuzeni jumbe zinazotumwa nayo.

英語

ignore them.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

haiti: pesa zinazotumwa na ndugu na jamaa zasaidia kabla ya misaada rasmi

英語

haiti: wired money may help rebuild before aid · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hii ndio sababu inayonifanya nigubikwe na huzuni, kufuatia habari za hivi karibuni pamoja na picha zinazotumwa kutoka venezuela

英語

that is why i have been overwhelmed with sadness, as the recent stories and images have been trickling out of venezuela.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pesa zinazotumwa na ndugu na marafiki kwenda haiti zitaongezeka mwaka huu, kama ambavyo imewahi kutokea kila wakati na kila sehemu zilizopatwa na majanga.

英語

remittances to haiti this year will surge, as they have done whenever and wherever there has been a crisis or natural disaster

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ikiwa tps imepelekea ongezeko la asilimia 20 kwa wastani wa pesa zinazotumwa na kila mhamiaji, tunaweza kutarajia ongezeko la dola 360 za pesa zinazotumwa kwenda haiti katika 2010.

英語

if the tps resulted in a 20 percent increase in the average remittance per migrant, we would expect an additional $360 million remittance flows to haiti in 2010!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pesa zinazotumwa na wanafamilia wanaoishi nje ya nchi, kwa uchache, zilikuwa kama asilimia thelathini ya mapato ya taifa ya haiti kabla ya tetemeko la ardhi la januari 12.

英語

remittances from family members living abroad represented at least thirty percent of haiti's gross national product before the january 12 earthquake.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huku simu zikiwa zinaanza kufanya kazi tena nchini haiti, pesa zinazotumwa na ndugu walio nje ya nchi “kwa waya” zinaanza kuwasili tena, na kusaidia ujenzi hata kule ambako mashirika ya kimataifa bado hayajafika.

英語

with phone lines being restored in haiti, money sent from families abroad "by wire" is again arriving, and helping reconstruction even where international aid has not arrived.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

dilip ratha, mchumi wa benki ya dunia, anadai kwenye blogu ya benki hiyo kuwa pesa zinazotumwa zinaweza kufanya kazi muhimu pamoja na ile hadhi ya uhamiaji ya dharura iliyoongezwa ya “kinga ya muda” (tps) kwa wahaiti laki 2 wanaoishi nchini marekani .

英語

dilip ratha, a world bank economist, argues at the bank's blog that remittances could hold a more important role with the emergency extension of "temporary protected" immigration status ("tps) to as many as 200 thousand haitians living in the us.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,748,481,316 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK