プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
concitaverunt autem plebem et principes civitatis audientes hae
kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
pontifices autem concitaverunt turbam ut magis barabban dimitteret ei
lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe pilato awafungulie baraba.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
qui vero increduli fuerunt iudaei suscitaverunt et ad iracundiam concitaverunt animas gentium adversus fratre
lakini wayahudi wengine waliokataa kuwa waumini walichochea na kutia chuki katika mioyo ya watu wa mataifa mengine ili wawapinge hao ndugu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
dum autem septem dies consummarentur hii qui de asia erant iudaei cum vidissent eum in templo concitaverunt omnem populum et iniecerunt ei manus clamante
wakati siku hizo saba zilipokaribia kuisha, wayahudi waliokuwa wametoka katika mkoa wa asia walimwona paulo hekaluni. wakachochea hasira kati ya kundi lote la watu, wakamtia nguvuni
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
zelantes autem iudaei adsumentesque de vulgo viros quosdam malos et turba facta concitaverunt civitatem et adsistentes domui iasonis quaerebant eos producere in populu
lakini wayahudi wakaona wivu; wakawakodi wafidhuli sokoni, wakafanya kikundi na kuzusha fujo mjini kote. wakaivamia nyumba ya yasoni wakitumaini kuwapata humo paulo na sila ili wawalete hadharani.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質: