検索ワード: arguably (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

arguably

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

most other imagery is not interactive, but arguably gives a broader overview of the situation.

スワヒリ語

taswira nyingine nyingi siyo shirikishi, lakini pengine zinatoa mtazamo mpana kuhusu hali ilivyo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

why do we insist on romanticizing ancient languages that arguably noone wants to speak anymore?

スワヒリ語

kwa nini tunaendelea kuzikumbatia lugha za kale ambazo hakuna anyetaka kuziongea tena?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

i’ve been to the sprawling campus that serves as headquarters to africa’s arguably flagship airline many times.

スワヒリ語

nimewahi kuwepo kwenye maeneo yanayofanya kazi kama makao makuu ya shirika la ndege linaloongoza afrika mara kadhaa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

martin luther king, jr. was born on january 15, 1929 and became arguably the american civil rights movement's most prominent advocate and speaker.

スワヒリ語

martin luther king jr. alizaliwa tarehe 15 januari, 1929 na akawa mmoja wa wasemaji na watetezi wakuu wa harakati za haki za kiraia huko marekani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

with a population of over 20m lagos is the largest black city in the world and is arguably the epicenter of the continent and home to the powerhouses of africa’s creative, business and tech communities.

スワヒリ語

likiwa na idadi ya watu wapatao milioni 20, lagos ndilo jiji kubwa la watu weusi duniani na inasemekana ni kitovu cha bara la afrika na makazi ya makampuni makubwa ya kibiashara na kiteknolojia katika bara la afrika.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

they should adopt a skeptical disposition and thoroughly question prospective candidates ... civil society, the church, political parties and all of us must press for a drastic reduction in the powers of the executive, arguably the greatest single problem.

スワヒリ語

lazima wajenge hali ya kutokuwaamini kirahisi wanasiasa na wawaulize maswali mazito wanapogombea nafasi za uongozi….vyama vya kiraia, makanisa, vyama vya kisiasa na sisi sote lazima tushinikize kupunguzwa kwa madaraka ya watalawa, ambalo kwa hakika ndilo tatizo kubwa linalotukabili.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

dar es salaam, tanzania's commercial capital, is getting back to normal after two days in which the city found itself playing host to arguably the most powerful man on earth: president barack obama of the united states.

スワヒリ語

dar es salaam, ambao ni mji mkuu wa kibiashara wa tanzania, unarejea katika hali yake ya kawaida baada ya siku mbili za kuwa mwenyeji wa mtu anayeaminika kuwa mwenye mvuto mkubwa duniani, rais wa marekani, barack obama.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,776,987,830 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK