検索ワード: disagreed (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

disagreed

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

user vasyl martyuk disagreed :

スワヒリ語

mtumiaji wa facebook vasyl martyuk alikuwa na mawazo tofauti :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

but a commenter on his post disagreed:

スワヒリ語

lakini kuna mtoa maoni katika makala hiyo ambaye hakuafiki:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

others disagreed with his assessment of corruption in nigeria:

スワヒリ語

wengine hawakukubaliana na maoni yake kuhusu ufisadi nchini naijeria:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

they disagreed among themselves over their affair, and conferred secretly.

スワヒリ語

basi wakazozana kwa shauri yao wenyewe kwa wenyewe, na wakanong'ona kwa siri.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

we had given the book to moses about which people greatly disagreed.

スワヒリ語

na hakika tulimpa musa kitabu, lakini pakatokea khitilafu kati yake.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

but they disagreed among themselves; some believed, while others did not.

スワヒリ語

basi wapo kati yao walio amini, na wengine kati yao walio kufuru.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

had you wished to set a time by mutual agreement, you would certainly have disagreed on the timing.

スワヒリ語

na ingeli kuwa mmeagana mngeli khitalifiana katika miadi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

allah will judge among you on the day of resurrection concerning matters about which you disagreed."

スワヒリ語

mwenyezi mungu atahukumu baina yenu siku ya kiyama katika hayo mnayo khitalifiana.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

those to whom the book was given disagreed among themselves only after knowledge had been given to them being insolent among themselves.

スワヒリ語

na walio pewa kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

but parties from among them disagreed with each other, so woe to those who disbelieve, because of presence on a great day.

スワヒリ語

lakini makundi yakakhitalifiana wao kwa wao. basi ole wao hao walio kufuru kwa kuhudhuria siku iliyo kuu!

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and (remember) when ye slew a man and disagreed concerning it and allah brought forth that which ye were hiding.

スワヒリ語

na mlipo muuwa mtu, kisha mkakhitalifiana kwayo, na mwenyezi mungu ni mwenye kuyatoa hayo mliyo kuwa mkiyaficha.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and allah had assuredly made good his promise unto you when ye were extirpating them by his leave, until when ye flagged and ye disagreed about the command and ye disobeyed after he had shewn you that for which ye longed.

スワヒリ語

na mwenyezi mungu alikutimilizieni miadi yake, vile mlivyo kuwa mnawauwa kwa idhini yake, mpaka mlipo legea na mkazozana juu ya amri, na mkaasi baada ya yeye kukuonyesheni mliyo yapenda. wapo miongoni mwenu wanao taka dunia, na wapo miongoni mwenu wanao taka akhera.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

it was only those to whom it [the scripture] was given who disagreed about it after clear signs had come to them, because of rivalry between them.

スワヒリ語

na wala hawakukhitalifiana ila wale walio pewa kitabu hicho baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi, kwa sababu ya uhasidi baina yao.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and those who were given the book disagreed only out of rivalry, after knowledge had been given to them -- he who denies god's signs should know that god is swift in his reckoning.

スワヒリ語

na walio pewa kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. na anaye zikataa ishara za mwenyezi mungu basi hakika mwenyezi mungu ni mwepesi wa kuhisabu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and certainly we lodged the children of israel in a goodly abode and we provided them with good things; but they did not disagree until the knowledge had come to them; surely your lord will judge between them on the resurrection day concerning that in which they disagreed.

スワヒリ語

nao hawakukhitalifiana mpaka ilipo wafikia ilimu. hakika mola wako mlezi atahukumu baina yao siku ya kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitalifiana.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

allah verily made good his promise unto you when ye routed them by his leave, until (the moment) when your courage failed you, and ye disagreed about the order and ye disobeyed, after he had shown you that for which ye long.

スワヒリ語

na mwenyezi mungu alikutimilizieni miadi yake, vile mlivyo kuwa mnawauwa kwa idhini yake, mpaka mlipo legea na mkazozana juu ya amri, na mkaasi baada ya yeye kukuonyesheni mliyo yapenda.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,794,584,959 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK