検索ワード: excitement (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

excitement

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

social media networks are abuzz with excitement.

スワヒリ語

mitandao ya kijamii imekuwa na mijadala mikali yenye hamasa kubwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

in the past few days, photographs of lugo during his inauguration demonstrated the excitement of the historical event.

スワヒリ語

katika siku chache zilizopita, picha za lugo wakati wa kuapishwa kwake zimeonyesha msisimko wa tukio hili la kihistoria.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

most of local youth with whom i talked over the gaza freedom march expressed excitement and enthusiasm for participation.

スワヒリ語

wengi wa vijana niliiongea nao juu ya maandamano ya uhuru gaza walielezea msisimko na hamu ya kushiriki.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

scientists, activists, and many bloggers have expressed relief and excitement following hogan's address.

スワヒリ語

wanasayansi, wanaharakati na wanablogu wengi wameeleza furaha yao kufuatia hotuba iliyotolewa na hogan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the vibrantly designed logo for this event, created by quarcoo, does a great job of evoking excitement about the festival.

スワヒリ語

nembo iliyobuniwa vizuri ya tukio hili, iliyotengenezwa na quarcoo, inafanya kazi nzuri ya kuamsha hamasa ya tamasha hilo.

最終更新: 2024-02-03
使用頻度: 1
品質:

英語

chelliah, a malaysian living in the uk, wrote about their excitement at the possibility of a change in government:

スワヒリ語

chelliah, m-malaysia aishiye nchini uingereza, aliandika kuhusu furaha yao katika uwezekano wa mabadiliko katika serikali:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

despite the excitement shown by citizens of the three countries, shadow government showed that there was a low point to the trip:

スワヒリ語

pamoja na shamra shamra nyingi zilizoonyeshwa na raia wa nchi hizo tatu, blogu ya shadow government ilionyesha ziara hiyo haikuwa na faida yoyote kubwa:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

and like the others, she dwells a little on the reasons of the somewhat excessive expressions of excitement for world cup, but reaches the same conclusion:

スワヒリ語

na kama walivyo wengine, anasisitizia kidogo juu ya sababu za kujieleza kulikopita kiasi kwa shauku ya kombe la dunia, lakini anafikia hitimisho sawa sawa na lile:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

without a doubt, the puerto rican and latin american communities that are alive and vibrant in the metropolis that is new york have not stopped celebrating this day with much excitement, especially the children.

スワヒリ語

bila ya mashaka, jamii ya watu wa amerika ya puerto rico na walatini halisi walio na msisimko katika mji huo mkuu, ambao ni new york, hawajawahi kuacha kusherehekea siku hii kwa mshawasha mkubwa, na hususani kwa watoto.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

this way, mauritania, which was just about to reap the fruit of democracy in a pioneering move which the entire region was eyeing with excitement, things return to what they were originally, and the military intervened and the coup happened.

スワヒリ語

kwa njia hii, mauritania, ambayo ilikuwa ianze kuvuna matunda ya demokrasia katika msukumo wa kiasisi ambao eneo lote la mataifa ya jirani yalikuwa yanaungalia kwa shauku, mambo yamerejea kule yalikotoka kiasili, na wanajeshi wakaingilia kati na mapinduzi kutokea.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

from costa ricans living in australia, the first ones to cast their vote, to the ones based in japan, france, the united states and elsewhere, citizens are reporting about their vote with expressions full of excitement.

スワヒリ語

kutoka kwa raia wa costa rica wanaoishi nchini australia, ambao ndio waliokuwa wa kwanza kupiga kura, wakifuatiwa na wale wanaoishi japan, ufaransa, marekani na kwingineko, raia wanaota taarifa huku wakionesha hisia zilizojaa hamaki.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

(the event) seems good to us for many reasons (...): the importance of reading, the beauty of giving, the excitement of releasing, and the uncertainty of not knowing and trusting; encouraging solidarity and the spirit of sharing socially and culturally, opening your heart and crossing borders.

スワヒリ語

(tukio hili) linaonekana kuwa jema kwetu kwa sababu nyingi (...): umuhimu wa kusoma, uzuri wa kutoa, furaha ya kuachia ulicho nacho na kutokuwa na uhakika wa kujua na kuamini; kuhamasisha ushirikiano na moyo wa kushirikiana kijamii na kiutamaduni, kufungua moyo wako na kuvuka mipaka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,794,334,721 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK