検索ワード: malala (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

malala

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

celebrating malala day

スワヒリ語

kuadhimisha siku ya malala

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

mqm celebrating malala day.

スワヒリ語

wanachama wa vuguvugu la mqm likisherehekea siku ya malala.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

malala is slowly recovering.

スワヒリ語

malala hivi sasa anazidi kupata nafuu akitaraji baada ya hapo kurejea katika maisha ya kawaida kama wasichana wengine wa umri wake.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

@soumyasinghs: #pakistan marks malala day..

スワヒリ語

@soumyasinghs: #pakistanyaadhimisha siku ya malala...

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

in my view malala is the ray of light and hope for pakistan.

スワヒリ語

kwa maoni yangu, malala ni kama mwale wa mwanga na matumaini kwa nchi ya pakistani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the reason why a nobel prize must be presented to malala is stated here:

スワヒリ語

sababu kwa nini zawadi ya nobel itunukiwe kwa malala imeelezwa waziwazi:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the #malala hashtag has been shared by more than five thousand people over twitter.

スワヒリ語

neno ufunguo la #malala kwenye twita limesambazwa na zaidi ya watu elfu tano.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the united nations has announced celebrating november 10 (saturday) as malala day.

スワヒリ語

umoja wa mataifa umetangaza kuisherehekea tarehe 10 novemba (jumamosi) kama siku ya malala.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

in pakistan, demonstrations in support of malala were held in islamabad, lahore, and karachi.

スワヒリ語

nchini pakistani, maandamano ya kumwunga mkono malala yalifanyika katika majiji ya islamabad, lahore, na karachi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

nominating malala for the nobel prize can be achieved if 'national politicians' take interest.

スワヒリ語

pendekezo hili kuhusu malal kutunukiwa tuzo ya nobel kunaweza tu kufanikiwa endapo 'wanasiasa katika nchi yake' wataunga mkono.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

ali salman alvi comments that the terrorist apologists are trying to belittle malala's act of valour:

スワヒリ語

ali salman alvi alitoa maoni kwamba watetezi wa magaidi wamekuwa wakijaribu kupuuzia kitendo cha kishujaa cha malala:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

for to express her love for malala, 11 year-old girl, bushra siddique, writes on her blog:

スワヒリ語

ili kuonyesha upendo wake kwa malala, msichana mwenye miaka 11, bushra siddique, anaandika kwenye blogu yake:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

but in malala's hometown open house events couldn't be organized out of fear of possible terrorist attacks.

スワヒリ語

lakini katika mji anakotokea malala hakuna shughuli za nje ya nyumba zilizofanyika yote kwa sababu ya kuhofia uwezekano wa shambulizi la kigaidi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a nobel peace prize for malala will send a clear message that the world is watching and will support those who stand up for gender equality and universal human rights, including the right to education for girls.

スワヒリ語

tuzo ya nobel kwa malala itapeleka ujumbe wa moja kwa moja kwamba ulimwengu unafuatilia na kuwasaidia wale wanaotetea usawa wa kijinsia na haki za binadamu, ikiwemo haki ya elimu kwa wasichana.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

@sufisal: “educating the mind without educating the heart is no education at all.” ― aristotle#malala day

スワヒリ語

@sufisal: “kuielimisha akili bila kuuelimisha moyo ni kazi bure.” ― aristotle#malala day

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

kainat - malala's friend who was with her during the attack- said that she's still terrified and cries whenever that incident comes in her mind.

スワヒリ語

kainat - rafiki yake malala waliyekuwa pamoja wakati shambulio lilipotokea — alisema — kwamba bado ana woga mwingi mno na hulia sana kila mara anapolikumbuka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

15 year-old malala yousafzai was shot on 9 october 2012 by members of ttp (tahreek-e-taliban pakistan) because she was a fearless activist of girl education in swat.

スワヒリ語

binti wa miaka 15 malala yousafzai alipigwa risasi mnamo tarehe 9 oktoba 2012 wanamgambo wa kundi la ttp (tahreek-e-taliban pakistan) kwa sababu tu alikuwa mwanaharakati asiyeogopa aliyetetea elimu kwa ajili ya wasichana huko swat.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,747,108,905 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK