検索ワード: microsoft excel (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

microsoft excel

スワヒリ語

microsoft bora

最終更新: 2021-08-29
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

microsoft

スワヒリ語

microsoft

最終更新: 2011-05-13
使用頻度: 3
品質:

参照: Wikipedia

英語

help me with the microsoft excel booklet

スワヒリ語

help me with microsoft excel booklet

最終更新: 2021-04-19
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

we will excel

スワヒリ語

kuzidi

最終更新: 2020-05-02
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

so try to excel in good deeds.

スワヒリ語

basi shindaneni kwa mambo ya kheri.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

microsoft congratulated kimbinyi in a tweet:

スワヒリ語

microsoft ilimpongeza kimbinyi kwenye twiti hii:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and we have made some of them to excel others in fruit.

スワヒリ語

na tunaifanya baadhi yao bora kuliko mengine katika kula.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and covet not the thing in which allah hath made some of you excel others.

スワヒリ語

wala msitamani alicho wafadhili mwenyezi mungu baadhi yenu kuliko wengine.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and wish not for the things in which allah has made some of you to excel others.

スワヒリ語

wala msitamani alicho wafadhili mwenyezi mungu baadhi yenu kuliko wengine.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

we have caused earthly things to seem attractive so that we can see who will excel in good deeds.

スワヒリ語

kwa hakika tumevifanya vilioko juu ya ardhi kuwa ni pambo lake ili tuwafanyie mtihani, ni nani kati yao wenye vitendo vizuri zaidi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

verily excel lent is that wherewith allah exhorteth you verily allah is ever hearing, beholding.

スワヒリ語

hakika haya anayo kuwaidhini mwenyezi mungu ni mazuri sana. hakika mwenyezi mungu ndiye mwenye kusikia, mwenye kuona.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

so strive towards piety and excel the others: god will bring you all together wheresoever you be.

スワヒリ語

basi shindanieni mema. popote mlipo mwenyezi mungu atakuleteni nyote pamoja.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

@mrfixnigeria is microsoft internet safety ambassador and nigeria's youngest presidential campaign manager.

スワヒリ語

@mrfixnigeria ni balozi wa microsoft wa usalama wa mtandaoni na ndiye meneja wa kampeni za urais mwenye umri mdogo kuliko wote katika naijeria.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

even so ye, forasmuch as ye are zealous of spiritual gifts, seek that ye may excel to the edifying of the church.

スワヒリ語

hali kadhalika na ninyi, maadam mna hamu ya kupata vipaji vya roho, jitahidini hasa kujipatia vile vinavyosaidia kulijenga kanisa.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

they believe in allah and in the last day and enjoin what is right and forbid what is wrong, and hasten to excel each other in doing good.

スワヒリ語

wanamuamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho, na wanaamrisha mema na wanakataza maovu na wanakimbilia katika mambo ya kheri.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

my new knowledge was really useful when we developed an app during the microsoft employer project; we ended up developing a much better app.

スワヒリ語

ufahamu wangu mpya ulikuwa wa muhimu sana tulipotengeneza zana tumizi wakati wa mradi wa mwajiri wa microsoft; tukaishia kuunda zana bora zaidi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and certainly we gave the book and the wisdom and the prophecy to the children of israel, and we gave them of the goodly things, and we made them excel the nations.

スワヒリ語

na hakika tuliwapa wana wa israili kitabu na hukumu na unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and certainly we gave knowledge to dawood and sulaiman, and they both said: praise be to allah, who has made us to excel many of his believing servants.

スワヒリ語

na hakika tuliwapa daudi na sulaiman ilimu, na wakasema: alhamdu lillahi, kuhimidiwa kote ni kwa mwenyezi mungu aliye tufadhilisha kuliko wengi katika waja wake waumini.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and ismail and al-yasha and yunus and lut; and every one we made to excel (in) the worlds:

スワヒリ語

na ismail, na al yasaa, na yunus, na lut'. na wote tuliwafadhilisha juu ya walimwengu wote.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

and in the land, there are adjoining plots, gardens of vines, sown fields and palmtrees in pairs and single that are watered with one water, yet we make some excel others in produce.

スワヒリ語

na katika ardhi vimo vipande vilivyo karibiana, na zipo bustani za mizabibu, na mimea mingine, na mitende yenye kuchipua kwenye shina moja na isio chipua kwenye shina moja, nayo inatiliwa maji yale yale. na tunaifanya baadhi yao bora kuliko mengine katika kula.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,784,806,553 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK