検索ワード: nairobi is the capital city of kenya (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

nairobi is the capital city of kenya

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

jos is the capital of plateau state in nigeria's middle belt.

スワヒリ語

jos ni mjini kuu wa jimbo la plateau kwenye ukanda wa kati wa naijeria.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the earthquake was felt in the capital city of santiago located 325km from the epicenter.

スワヒリ語

tetemeko hilo liliutetemesha mji mkuu wa santiago uliopo kilomita 325 kutoka katika kiini cha tetemeko hilo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

this time it will was held in plaza vieja, in the capital city.

スワヒリ語

safari hii maandamano yalifanyika plaza vieja, jengo lililopo kwenye mji huo mkuu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

dakar, the capital city of senegal, has been plagued with water shortage for the past 15 days .

スワヒリ語

dakar, mji kuu wa senegal, umekumbwa na uhaba wa maji kwa siku 15 zilizopita .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

on 21 september, 2013, a group of armed militants stormed an upscale mall in nairobi, the capital city of kenya, and opened fire, killing by the latest count 69 people and injuring hundreds more.

スワヒリ語

tarehe 21 septemba, 2013, kikundi cha wanajeshi wenye silaha walivamia kituo cha biashara jijini nairobi, mji mkuu wa kenya, walimimina risasi, wakiua watu wanaosemekana kufikia 69 na kujeruhi mamia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

he has tried to fly back to the capital city but it is unclear whether he has succeeded.

スワヒリ語

amejaribu kureje kwa ndege jijini bujumbura lakini haijulikani kama alifanikiwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

in maracay, the capital city of aragua state, mare informed about the call that spreads until the night in that city:

スワヒリ語

jijini maracay, mji mkuwa wa jimbo la aragua state, mare aliripoti kuhusu wito uliosambaa mpaka usiku katika jiji hilo:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

billboards erected by his party supporting his intention to continue ruling the country are all over the capital city kampala.

スワヒリ語

mabango yaliyotengenezwa na chama chake kuunga mkono nia yake ya kuendelea kuitawala nchi hiyo yameenea kwenye jiji la kampala, makao makuu ya nchi hiyo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

on september 21, 2013, a group of suspected al-shabab militants stormed westgate mall in nairobi, the capital city of kenya, killing at least 61 people, six security personnel and injuring hundreds of innocent men, women and children.

スワヒリ語

mnamo septemba 21, 2013, kikundi cha watu wenye silaha wanaodhaniwa kuwa al-shabab walivamia jengo la westgate jijini nairobi, mji mkuu wa kenya, wakiua watu wasiopungua 61, wanausalama sita na kujeruhi mamia ya watu wasio na hatia wakiwamo watoto.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the epicenter was located at 20 kilometers north of the capital city managua, close to apoyeque volcano, at 10 kilometers depth.

スワヒリ語

kitovu kilikuwa kilomita 20 kaskazini ya mji mkuu managua, karibu na volkano ya apoyeque, wa kina cha kilomita 10.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

sada tangara, a photographer and blogger based in dakar, senegal posted a photoreport on the rise of vigilante justice on the streets of dakar, capital city of senegal.

スワヒリ語

sada tangara, mpiga kura na mwanablogu anayeishi dakar, nchini senegali aliweka picha-habari inayohusu kuongezeka kwa matukio ya kujichukulia sheria mkononi kwenye mitaa ya dakar, mji mkuu wa senegali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a shooting in a restaurant in bamako, capital city of mali, claimed the lives of five people on friday night, march, 6.

スワヒリ語

shambuliko la kigaidi lilitekelezwa kwenye mgahawa jijini bamako, makao makuu ya mali, limechukua maisha ya watu watano usiku wa siku ya ijumaa mnamo machi, 6.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

@usembassykrt: internet access and possibly cell phones may be disrupted or limited in sudan due to the protests and demonstrations in the capital city.

スワヒリ語

@usembassykrt: upatikanaji wa intanenti na pengine simu za mkononi zinaweza kuwa na matatizo ya upatikanaji au kutokupatikana kabisa nchini humu kufuatia upinzani wa umma dhidi ya serikali na maandamano yanayoendelea katika mji mkuu wa nchi hii.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

bandits even stormed the national headquarters of the police and the ministry of external relations (foreign affairs) in the capital city, yaounde.

スワヒリ語

majambazi wameweza hata kuyavamia makao makuu ya taifa ya polisi na wizara ya mambo ya nje katika mji mkuu wa yaounde.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

bahia, the state with the largest percentage of blacks, is the capital of this religion, which closely follows its african roots and traditions among the yoruba people of nigeria and the bantu people of angola and the congo.

スワヒリ語

bahia, jimbo ambalo lina asilimia kubwa zaidi ya watu weusi, ndiyo makao makuu ya dini hii, ambayo inafuata kwa karibu asili yake ya kiafrika na hasa tamaduni za kiyoruba za nigeria na za kibantu za angola na kongo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a 1,500 km-long railway project between niamey, the capital city of niger and cotonou, the capital city of benin has been green lighted by the authorities of the two countries and construction will begin on march 2014 .

スワヒリ語

mradi wa reli wa urefu wa kilometa 1,500 kati ya niamey, mji mkuu wa niger na cotonou, mji mkuu wa benin umepitishwa na mamlaka ya nchi hizo mbili na ujenzi utaanza machi 2014 .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

just after winning the election to replace sata, lungu underwent medical tests at lusaka trust hospital and maina soko military hospital, both of which are within a short distance from the presidential palace in the woodlands district of the capital city.

スワヒリ語

kabla ya kushinda uchaguzi na kumrithi sata, lungu alifanya uchunguzi wa afya kwenye hospitali ya lusaka trust pamoja na hospitali ya kijeshi ya maina soko, zote zikiwa umbali mdogo tu kutoka yalipo makazi ya rais, ikulu, wilaya ya woodlands jijini lusaka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the victim was 37 years old and his brutal death in a police station in the old city of salé, near the capital rabat, is for many bloggers, reminiscent of the years of lead, the dark era of the previous regime of king hassan ii, when police brutality and torture perpetrated by state agents was a horrifying reality moroccans had to live with.

スワヒリ語

mhanga huyu alikuwa na umri wa miaka 37 na kifo chake baada ya kuteswa vibaya katika kituo cha polisi katika mji wa kale wa salé ulio karibu na jiji la rabat, ni jambo ambalo wanablogu wengi wanalichukulia kuwa mabaki ya enzi za miaka ya chuma, ambazo zilikuwa kipindi kibaya cha utawala wa mfalme hassan ii, ambapo ukatili wa polisi na utesaji uliopangwa na kufanywa na vyombo vya dola ulikuwa wa viwango vya kutisha na ambao raia wa moroko walilazimika kuuishi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the same day that the death toll of a nine-story factory collapse in savar in the outskirts of bangladesh's capital city of dhaka rose to 1,055, now the deadliest building collapse since the 9/11 terrorist attacks, a female worker named reshma begum was found alive after being trapped in the rubble for 17 days.

スワヒリ語

siku ifananayo na ile iliyogharimu maisha ya watu mara baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa tisa huko savar pembezoni mwa mji mkuu wa banglasesh, dhaka idadi ya vifo imeongezeka hadi 1,055, hadi sasa hili ndilo jingo lililowahi kuporomoka na kuua idadi kubwa zaidi ya watu tangu lilipotokea shambulizi la kigaidi mnamo tarehe 9/11, mfanyakazi mmoja mwanamke ajulikanaye kwa jina la reshma begum amekutwa akiwa hai baada ya kuzuiwa na vifusi vya jengo hilo kwa siku 17.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

and what is [the matter] with you that you fight not in the cause of allah and [for] the oppressed among men, women, and children who say, "our lord, take us out of this city of oppressive people and appoint for us from yourself a protector and appoint for us from yourself a helper?"

スワヒリ語

na mna nini msipigane katika njia ya mwenyezi mungu na ya wale wanao onewa, wanaume na wanawake na watoto, ambao husema: mola mlezi wetu! tutoe katika mji huu ambao watu wake ni madhaalimu, na tujaalie tuwe na mlinzi anaye toka kwako, na tujaalie tuwe na wa kutunusuru anaye toka kwako.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,794,698,613 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK