プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
mathew jallow, an exiled gambian journalist, saw the move as good for publicising president jammeh's "stupidity".
mathew jallow, mwandishi wa habari raia wa gambia aliyefukuzwa nchini humo, aliichukulia hatua hiyo kuwa nzuri kuutangaza "ujinga" wa rais jammeh.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
to empower the individual nigerian citizen as a monitor of incidents in the area of: free and fair elections; corruption of public officials, civil servants and law enforcement agents; human rights abuses to provide a mechanism for citizens to report on incidents of electoral malpractices, corruption and human rights violations that they experience; to provide a resource to the mass communication industry in publicising the incidents reported by nigerian citizens; to provide mechanism for collating and analysing reports and channelling them appropriately to inform public decision making, shape and influence policy outcomes.
kumwezesha raia mmoja moja wa kinajeria kuwa mwangalizi wa matukio katika maeneo ya: uchaguzi huru na haki; ufisadi wa maafisa wa ofisi za umma, watumishi wa umma na mashirika yanayoshughulika na sheria; uvunjifu wa haki za binadamu wanaokutana nao; kufanyika chanzo cha habari kwa ajili ya tasnia ya mawasiliano ya umma katika kutangaza matukio yanayoripotiwa na raia wa kinaijeria; kutoa mfumo wa kuziunganisha na kuzichambua taarifa na kuzielekeza kunakotakiwa ili kufahamisha ufikiwaji wa maamuzi ya umma, sura na kusababisha mabadiliko ya matokeo ya sera.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質: