検索ワード: the clean boss (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

the clean boss

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

beholdest thou not how allah hath propounded the similitude of the clean word?

スワヒリ語

hebu hukuona vipi mwenyezi mungu alivyo piga mfano wa neno zuri?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

but the clean provision bestowed upon you by your lord is better and more enduring.

スワヒリ語

na riziki ya mola wako mlezi ni bora na inadumu zaidi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

in it are men who love to cleanse themselves: and allah approveth the clean.

スワヒリ語

humo wamo watu wanao penda kujitakasa. na mwenyezi mungu anawapenda wanao jitakasa.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

say thou: who hath forbidden the adornment which allah hath produced for his servants and the clean things of food?

スワヒリ語

sema: ni nani aliye harimisha pambo la mwenyezi mungu alilo watolea waja wake, na vilivyo vizuri katika riziki.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and we overshadowed you with clouds and we sent down unto you the manna and the quails, saying: eat of the clean things, wherewith we have provided you.

スワヒリ語

na tukakutilieni kivuli kwa mawingu na tukakuteremshieni manna na salwa; tukakwambieni: kuleni vitu vizuri hivi tulivyo kuruzukuni.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and we shaded them with thick clouds, and we sent down upon them the manna and the quails, saying: eat of the clean things wherewith we have provided you.

スワヒリ語

na tukawafunika kivuli kwa mawingu, na tukawateremshia manna na salwa. tukawaambia: kuleni vizuri hivi tulivyo kuruzukuni.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

but if you are sick or traveling, or, if when you have just relieved yourselves or had intercourse with women and you cannot find water, touch the clean surface of the earth and rub your hands and faces with it.

スワヒリ語

na mkiwa wagonjwa au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni au mmewagusa wanawake, na hamkupata maji, basi tayamamuni vumbi lilio safi, na mpake nyuso zenu na mikono yenu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

wherefore because of the wrongdoing on the part of those who are judaised we forbade unto them the clean things that had been allowed unto them, and also because of their keeping away many from allah's way;

スワヒリ語

basi kwa dhulma yao mayahudi tuliwaharimishia vitu vizuri walivyo halalishiwa. na kwa sababu ya kuwazuilia kwao watu wengi na njia ya mwenyezi mungu,

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and we caused thick clouds to provide them shade, and we sent down upon them manna and quails, saying: 'eat of the clean things that we have provided you.'

スワヒリ語

na tukawafunika kivuli kwa mawingu, na tukawateremshia manna na salwa. tukawaambia: kuleni vizuri hivi tulivyo kuruzukuni.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

saying: eat of the clean things wherewith we have provided you, and wax not exorbitant in respect thereof, lest my wrath alight on you; and upon whomsoever my wrath alighteth, he surely perisheth.

スワヒリ語

kuleni katika vitu vizuri hivyo tulivyo kuruzukuni, wala msiruke mipaka katika hayo, isije ikakushukieni ghadhabu yangu. na inaye mshukia ghadhabu yangu basi huyo ameangamia.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

he makes the clean things lawful to them and prohibits all corrupt things, and removes from them their burdens and the shackles that were upon them. so those who believe in him and assist him, and succour him and follow the light which has been sent down with him, it is they who shall prosper.

スワヒリ語

basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

(remember that) we caused the cloud to overshadow you and provided you with manna and salva for your food, saying, "eat of the clean and pure things we have bestowed upon you" (in spite of this, your forefathers violated our commands:) however, they did not harm us but harmed only themselves.

スワヒリ語

na tukakutilieni kivuli kwa mawingu na tukakuteremshieni manna na salwa; tukakwambieni: kuleni vitu vizuri hivi tulivyo kuruzukuni. nao hawakutudhulumu sisi lakini walikuwa wanajidhulumu nafsi zao.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,793,273,651 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK