전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
und baten uns mit vielem zureden, daß wir aufnähmen die wohltat und gemeinschaft der handreichung, die da geschieht den heiligen;
walitusihi sana wapewe nafasi ya kushiriki katika huduma hii ya kuwasaidia watu wa mungu.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
und hält sich nicht an dem haupt, aus welchem der ganze leib durch gelenke und fugen handreichung empfängt und zusammengehalten wird und also wächst zur göttlichen größe.
na amejitenga na kristo aliye kichwa cha huo mwili. chini ya uongozi wa kristo, mwili wote unalishwa na kuunganishwa pamoja kwa viungo na mishipa yake, nao hukua kama atakavyo mungu.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
aber unter den jüngern beschloß ein jeglicher, nach dem er vermochte, zu senden eine handreichung den brüdern, die in judäa wohnten;
wale wanafunzi waliamua kila mmoja kwa kadiri ya uwezo wake apeleke chochote ili kuwasaidia wale ndugu waliokuwa wanaishi yudea.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
in den tagen aber, da der jünger viele wurden, erhob sich ein murmeln unter den griechen wider die hebräer, darum daß ihre witwen übersehen wurden in der täglichen handreichung.
baadaye, idadi ya wanafunzi ilipokuwa inazidi kuongezeka, kulitokea manung'uniko kati ya wanafunzi waliosema kigiriki na wale waliosema kiebrania. wale waliosema kigiriki walinung'unika kwamba wajane wao walikuwa wanasahauliwa katika ugawaji wa mahitaji ya kila siku.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
von welchem aus der ganze leib zusammengefügt ist und ein glied am andern hanget durch alle gelenke, dadurch eins dem andern handreichung tut nach dem werk eines jeglichen gliedes in seinem maße und macht, daß der leib wächst zu seiner selbst besserung, und das alles in liebe.
chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
und die ein zeugnis habe guter werke: so sie kinder aufgezogen hat, so sie gastfrei gewesen ist, so sie der heiligen füße gewaschen hat, so sie den trübseligen handreichung getan hat, so sie in allem guten werk nachgekommen ist.
na awe mwenye sifa nzuri: aliyewalea watoto wake vizuri, aliyewakaribisha wageni nyumbani kwake, aliyewaosha miguu watu wa mungu, aliyewasaidia watu wenye taabu, na aliyejitolea kufanya mambo mema.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질: