검색어: jeweiligen (독일어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

German

Swahili

정보

German

jeweiligen

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

독일어

스와힐리어

정보

독일어

1. schreiben eines briefs an den botschafter des jeweiligen landes in Äthiopien.

스와힐리어

tuma barua: mwandikie balozi wa ethipia nchini kwako.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

und wir haben bereits vor dir gesandte zu ihren (jeweiligen) völkern gesandt.

스와힐리어

na hakika tulikwisha watuma mitume kwa kaumu zao, na wakawajia kwa hoja zilizo wazi.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

독일어

darum sollte in afrika der strategische fokus auf forschungsarbeiten liegen, die in den jeweiligen regionen sofort einen hohen praktischen nutzen entfalten.

스와힐리어

mweleko wa kimkakati kwa afrika wapaswa kuwa katika kuwezesha kufanyika kwa tafiti ambazo zinafaida ya kutatua matatizo yanayozikabili jamii hizo kwa wakati husika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

dann schickten wir nach ihm gesandte zu ihrem (jeweiligen) volk; sie kamen mit den deutlichen zeichen zu ihnen.

스와힐리어

kisha baada yake tukawatuma mitume kwa watu wao. nao wakawajia kwa ishara zilizo wazi.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

독일어

diese finanzielle förderung wird es rebecca und ihrem team ermöglichen, internetunternehmen hinsichtlich des schutzes der privatsphäre der jeweiligen nutzer zu bewerten und ein weltweites ranking herauszugeben, das unternehmen dazu motivieren wird, ihre praktiken zu verbessern.

스와힐리어

ufadhili huu utamuwezesha rebecca na wenzake katika kuandaa safu itakayoonesha ni kwa kiasi gani makampuni yanayotoa huduma ya intaneti yanavyoweza kutunza haki za wateja wao, ikiwa ni pamoja na kuiweka hadharani rafu hiyo ya kidunia kwa lengo la kuyahamasisha makampuni hayo kuboresha huduma zake.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

an diesem donnerstag werden wir als globale gemeinschaft von bloggern, autoren, aktivisten und experten sozialer medien die nachricht über ihr schicksal rund um die welt verbreiten und in unseren jeweiligen muttersprachen twittern, so dass einflussreiche personen, diplomaten und massenmedien auf den fall aufmerksam werden.

스와힐리어

kwa hiyo alhamisi hii, sisi kama jumuiya ya wanablogu, waandishi, wanaharakati na wataalam wa uandishi wa kiraia walioenea duniani kote watashiriki ujumbe huu kwenda duniani kote, ku-twiti katika lugha za asili kwa viongozi wa mitaa, serikali, maafisa wa kidiplomasia na hata vyombo vikuu vya habari ili kuwafanya wafahamu kinachoendelea. .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

(gedenke) des tages, da wir alle menschen mit ihrem (jeweiligen) anführer rufen werden. wem dann sein buch in seine rechte hand gegeben wird, jene wer den ihr buch (ohne weiteres) lesen, und ihnen wird nicht um ein fädchen unrecht zugefügt.

스와힐리어

siku tutapo waita kila kikundi cha watu kwa mujibu wa wakifuatacho - basi atakaye pewa kitabu chake kwa mkono wake wa kulia, basi hao watasoma kitabu chao wala hawatadhulumiwa hata chembe.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,761,479,337 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인