전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
et cum darent illa animalia gloriam et honorem et benedictionem sedenti super thronum viventi in saecula saeculoru
kila mara viumbe vinne vilipoimba nyimbo za kumtukuza, kumheshimu na kumshukuru huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi, ambaye anaishi milele na milele,
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
ceterum si benedixeris spiritu qui supplet locum idiotae quomodo dicet amen super tuam benedictionem quoniam quid dicas nesci
ukimsifu mungu kwa roho yako tu, atawezaje mtu wa kawaida aliye katika mkutano kuitikia sala yako ya shukrani kwa kusema: "amina," kama haelewi unachosema?
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
necessarium ergo existimavi rogare fratres ut praeveniant ad vos et praeparent repromissam benedictionem hanc paratam esse sic quasi benedictionem non quasi avaritia
kwa hiyo, nimeona ni lazima kuwaomba hawa ndugu watutangulie kuja kwenu, wapate kuweka tayari zawadi yenu kubwa mliyoahidi; nayo ionyeshe kweli kwamba ni zawadi iliyotolewa kwa hiari na si kwa kulazimishwa.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질: