전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
spiritus domini super me propter quod unxit me evangelizare pauperibus misit m
"roho wa bwana yu juu yangu, kwani amenipaka mafuta niwahubirie maskini habari njema. amenituma niwatangazie mateka watapata uhuru, vipofu watapata kuona tena; amenituma niwakomboe wanaoonewa,
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
mihi omnium sanctorum minimo data est gratia haec in gentibus evangelizare ininvestigabiles divitias christ
mimi ni mdogo kuliko watu wote wa mungu; lakini amenijalia neema yake, ili niwahubirie watu wa mataifa utajiri wake kristo usiopimika,
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
etiam in illa quae ultra vos sunt evangelizare non in aliena regula in his quae praeparata sunt gloriar
hapo tutaweza kuihubiri habari njema katika nchi nyingine, mbali nanyi; na haitakuwa shauri la kujivunia kazi waliyofanya watu wengine mahali pengine.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
ut autem visum vidit statim quaesivimus proficisci in macedoniam certi facti quia vocasset nos deus evangelizare ei
mara baada ya paulo kuona ono hilo, tulijitayarisha kwenda makedonia bila kukawia, tukiwa na hakika kwamba mungu ametuita tuwapelekee habari njema.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질: