검색어: usingizi (스와힐리어 - 독일어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

독일어

정보

스와힐리어

ana usingizi

독일어

es ist nicht zu viel

마지막 업데이트: 2024-09-13
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hashikwi na usingizi wala kulala.

독일어

ihm kommt weder schläfrigkeit noch schlaf bei.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, tusilale usingizi kama wengine; tunapaswa kukesha na kuwa na kiasi.

독일어

so lasset uns nun nicht schlafen wie die andern, sondern lasset uns wachen und nüchtern sein.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

akawaendea tena, akawakuta wamelala, maana macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi.

독일어

und er kam und fand sie abermals schlafend, und ihre augen waren voll schlafs.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kisha baada ya dhiki alikuteremshieni utulivu - usingizi ambao ulifunika kundi moja kati yenu.

독일어

alsdann sandte er auf euch nach dem kummer sicherheit (in der art von) schläfrigkeit nieder.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha lazaro.

독일어

jesus aber sagte von seinem tode; sie meinten aber, er redete vom leiblichen schlaf.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

naye ndiye aliye kufanyieni usiku kuwa ni vazi, na usingizi kuwa mapumziko, na akakufanyieni mchana ni kufufuka.

독일어

und er ist derjenige, der für euch die nacht als kleidung machte und den schlaf zum ausruhen, und er machte den tag zur auferstehung.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

aliona njaa, akatamani kupata chakula. chakula kilipokuwa kinatayarishwa, alipatwa na usingizi mzito akaona maono.

독일어

und als er hungrig ward, wollte er essen. da sie ihm aber zubereiteten, ward er entzückt

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

petro na wenzake walikuwa wamelemewa na usingizi mzito, hata hivyo waliamka, wakauona utukufu wake, wakawaona na wale watu wawili waliokuwa wamesimama pamoja naye.

독일어

petrus aber, und die mit ihm waren, waren voll schlafs. da sie aber aufwachten, sahen sie seine klarheit und die zwei männer bei ihm stehen.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nimefanya kazi na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.

독일어

in mühe und arbeit, in viel wachen, in hunger und durst, in viel fasten, in frost und blöße;

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

walipokuwa wanasafiri kwa mashua, yesu alishikwa na usingizi, akalala. dhoruba kali ikaanza kuvuma, maji yakaanza kuingia ndani ya mashua, wakawa katika hatari.

독일어

und da sie schifften, schlief er ein. und es kam ein windwirbel auf den see, und die wellen überfielen sie, und sie standen in großer gefahr.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kisha baada ya dhiki alikuteremshieni utulivu - usingizi ambao ulifunika kundi moja kati yenu. na kundi jengine nafsi zao ziliwashughulisha hata wakamdhania mwenyezi mungu dhana isiyo kuwa ya haki, dhana ya kijinga.

독일어

dann sandte er nach dem kummer sicherheit auf euch herab, schläfrigkeit, die einen teil von euch überkam, während ein (anderer) teil um sich selbst besorgt war, indem sie von allah in gedanken der unwissenheit dachte, was dem wahren nicht entspricht.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alipo kufunikeni kwa usingizi uwe ni uaminisho kutoka kwake, na akakuteremshieni maji kutoka mbinguni ili kukusafisheni kwayo na kukuondoleeni uchafu wa shet'ani, na kuzipa nguvu nyoyo zenu, na kuitia imara miguu yenu.

독일어

(und erinnere daran), als er die schläfrigkeit euch überkommen ließ - (als zeichen der) sicherheit von ihm, und das wasser über euch vom himmel fallen ließ, um euch damit zu reinigen, von euch das einflüstern des satans wegzunehmen, eure herzen zu stärken und euch (im kampf) standhaft zu machen.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
8,891,304,412 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인