전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
watu wote walitaka kumgusa, kwa maana nguvu ilikuwa inatoka ndani yake na kuwaponya wote.
et omnis turba quaerebant eum tangere quia virtus de illo exiebat et sanabat omne
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
umati mkubwa wa watu ulimfuata kwa sababu watu hao walikuwa wameona ishara alizokuwa akifanya kwa kuwaponya wagonjwa.
et sequebatur eum multitudo magna quia videbant signa quae faciebat super his qui infirmabantu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
mnajua yesu wa nazareti na jinsi mungu alivyomteua kwa kummiminia roho mtakatifu na nguvu. mungu alikuwa pamoja naye; yeye alikwenda huko na huko akitenda mema na kuwaponya wote waliokuwa wamevamiwa na ibilisi.
iesum a nazareth quomodo unxit eum deus spiritu sancto et virtute qui pertransivit benefaciendo et sanando omnes oppressos a diabolo quoniam deus erat cum ill
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
mto huo ulitiririka kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uzima unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa.
in medio plateae eius et ex utraque parte fluminis lignum vitae adferens fructus duodecim per menses singula reddentia fructum suum et folia ligni ad sanitatem gentiu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
pia wanawake kadhaa ambao yesu alikuwa amewatoa pepo wabaya na kuwaponya magonjwa, waliandamana naye. hao ndio akina maria (aitwaye magdalene), ambaye alitolewa pepo wabaya saba;
et mulieres aliquae quae erant curatae ab spiritibus malignis et infirmitatibus maria quae vocatur magdalene de qua daemonia septem exieran
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질: