전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
jumapili ya matawi
마지막 업데이트: 2021-03-28
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
lakini utasema: "matawi yalikatwa kusudi mimi nipandikizwe mahali pake."
dices ergo fracti sunt rami ut ego insera
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani; wengine wakatandaza matawi ya miti waliyoyakata mashambani.
multi autem vestimenta sua straverunt in via alii autem frondes caedebant de arboribus et sternebant in vi
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
umati mkubwa wa watu ukatandaza nguo zao barabarani, na watu wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza barabarani.
plurima autem turba straverunt vestimenta sua in via alii autem caedebant ramos de arboribus et sternebant in vi
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kwa maana, ikiwa mungu hakuwahurumia wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe?
si enim deus naturalibus ramis non pepercit ne forte nec tibi parca
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
ikiwa kipande cha kwanza cha mkate kimewekwa wakfu, mkate wote umewekwa wakfu; mizizi ya mti ikiwa mizuri, na matawi yake huwa mazuri pia.
quod si delibatio sancta est et massa et si radix sancta et ram
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
basi, msiwadharau wale waliokatwa kama matawi! na, hata kama kuna la kujivunia, kumbukeni kwamba si ninyi mnaoitegemeza mizizi, bali mizizi ndiyo inayowategemeza ninyi.
noli gloriari adversus ramos quod si gloriaris non tu radicem portas sed radix t
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
yenyewe ni ndogo kuliko mbegu zote, lakini ikishaota huwa kubwa kuliko mimea yote. hukua ikawa mti, na ndege wa angani huja na kujenga viota katika matawi yake."
quod minimum quidem est omnibus seminibus cum autem creverit maius est omnibus holeribus et fit arbor ita ut volucres caeli veniant et habitent in ramis eiu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
"mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi yake. akaaye ndani yangu, nami ndani yake, huyo atazaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote.
ego sum vitis vos palmites qui manet in me et ego in eo hic fert fructum multum quia sine me nihil potestis facer
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
naam, baadhi ya matawi ya mzeituni bustanini yalikatwa, na mahali pake tawi la mzeituni mwitu likapandikizwa. ninyi watu wa mataifa mengine ndio hilo tawi la mzeituni mwitu; na sasa mnashiriki nguvu na utomvu wa mzeituni bustanini.
quod si aliqui ex ramis fracti sunt tu autem cum oleaster esses insertus es in illis et socius radicis et pinguidinis olivae factus e
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
basi, wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki; wakapaaza sauti wakisema: "hosana! abarikiwe huyo ajaye kwa jina la bwana. abarikiwe mfalme wa israeli."
acceperunt ramos palmarum et processerunt obviam ei et clamabant osanna benedictus qui venit in nomine domini rex israhe
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다