검색어: salama (스와힐리어 - 라틴어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

Latin

정보

Swahili

salama

Latin

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

라틴어

정보

스와힐리어

lakini bwana ni mwaminifu. yeye atawaimarisheni na kuwalinda salama na yule mwovu.

라틴어

fidelis autem dominus est qui confirmabit vos et custodiet a mal

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tulipokwisha fika salama kwenye nchi kavu, tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa malta.

라틴어

et cum evasissemus tunc cognovimus quia militene insula vocatur barbari vero praestabant non modicam humanitatem nobi

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"mtu mwenye nguvu anapolinda jumba lake kwa silaha, mali yake yote iko salama.

라틴어

cum fortis armatus custodit atrium suum in pace sunt ea quae posside

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

na wengine wafuate wakijishikilia kwenye mbao au kwenye vipande vya meli iliyovunjika. ndivyo sisi sote tulivyofika salama pwani.

라틴어

et ceteros alios in tabulis ferebant quosdam super ea quae de navi essent et sic factum est ut omnes animae evaderent ad terra

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hizo zitakuwa zenu ninyi ambao kwa imani mnalindwa salama kwa nguvu ya mungu kwa ajili ya wokovu ambao uko tayari kufunuliwa mwishoni mwa nyakati.

라틴어

qui in virtute dei custodimini per fidem in salutem paratam revelari in tempore novissim

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ombeni nipate kutoka salama miongoni mwa wale wasioamini walioko uyahudi, nayo huduma yangu huko yerusalem ipate kukubaliwa na watu wa mungu walioko huko.

라틴어

ut liberer ab infidelibus qui sunt in iudaea et obsequii mei oblatio accepta fiat in hierosolyma sancti

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini mama huyo akapewa mabawa mawili ya tai apate kuruka mbali sana na hilo joka, mpaka mahali, pake jangwani ambapo angehifadhiwa salama kwa muda wa miaka mitatu na nusu.

라틴어

et datae sunt mulieri duae alae aquilae magnae ut volaret in desertum in locum suum ubi alitur per tempus et tempora et dimidium temporis a facie serpenti

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na kunichukua salama mpaka katika utawala wake wa mbinguni. kwake uwe utukufu milele na milele! amina.

라틴어

liberabit me dominus ab omni opere malo et salvum faciet in regnum suum caeleste cui gloria in saecula saeculorum ame

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yafaa kitu gani ninyi kuwaambia hao: "nendeni salama mkaote moto na kushiba," bila kuwapatia mahitaji yao ya maisha?

라틴어

dicat autem aliquis de vobis illis ite in pace calefacimini et saturamini non dederitis autem eis quae necessaria sunt corporis quid proderi

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.

라틴어

temptatio vos non adprehendat nisi humana fidelis autem deus qui non patietur vos temptari super id quod potestis sed faciet cum temptatione etiam proventum ut possitis sustiner

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

timotheo, tunza salama yote yale uliyokabidhiwa. jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita watu wengine: "elimu".

라틴어

o timothee depositum custodi devitans profanas vocum novitates et oppositiones falsi nominis scientia

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

na sasa naja kwako; simo tena ulimwenguni, lakini wao wamo ulimwenguni. baba mtakatifu! kwa nguvu ya jina lako ulilonipa, tafadhali uwaweke salama ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo mmoja.

라틴어

et iam non sum in mundo et hii in mundo sunt et ego ad te venio pater sancte serva eos in nomine tuo quos dedisti mihi ut sint unum sicut et no

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

watu watakapokuwa wanasema: "kila kitu ni shwari na salama" ndipo uharibifu utakapowaangukia ghafla! mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.

라틴어

cum enim dixerint pax et securitas tunc repentinus eis superveniet interitus sicut dolor in utero habenti et non effugien

마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,762,400,299 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인