검색어: majanga (스와힐리어 - 스페인어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

Spanish

정보

Swahili

majanga

Spanish

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

스페인어

정보

스와힐리어

kwa hiyo majanga haya yanajitokeza mara kwa mara.

스페인어

tales desastres ocurren una y otra vez.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuwahamisha watoto wakati wa majanga si jambo jipya.

스페인어

sacar a los niños en tiempos de desastre no es algo nuevo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tuzo ya udhibiti ya majanga – shirika la taifa la majisafi na majitaka

스페인어

premio a manejo de crisis – corporación nacional de agua y alcantarillado

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

zaidi ya habari za kombe la dunia: machozi brazil, mabomu bahrain na majanga qatar

스페인어

más allá del mundial: lágrimas en brasil, gas lacrimógeno en bahréin y tragedia en qatar

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

gv face: kuhusu beirut na paris, kwa nini majanga mengine yanatangazwa zaidi kuliko mengine?

스페인어

gv face: beirut y parís ¿por qué unas tragedias atraen la atención mundial y otras no?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@tonybkaranja: tunahitaji sana mpango wa kudhibiti majanga ambao hautakuwa tu kwenye makaratasi #nairobiblast

스페인어

@tonybkaranja: realmente necesitamos un plan de manejo de desastres que no esté solamente en papel. #nairobiblast

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alishiriki mahojiano kadhaa, akichambua majanga kadhaa ambayo yamekuwa yakitokea hivi karibuni ndani ya nchi ya guinea-bissau.

스페인어

ofreció entrevistas, analizando algunas de las crisis que están ocurriendo actualmente dentro de guinea-bissau.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ushahidi pia imetajwa ikihusishwa na tetemeko la ardhi nchini haiti mwaka 2010 na vile vile kwa ujumla wakekama inavyohusiana na migogoro, majanga na wakimbizi.

스페인어

ushahidi también recibe una mención en relación con el terremoto de 2010 en haití , así como, en general, en lo que respecta a conflictos, los desastres y refugiados .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mwanablogu wa uganda rosebell, kifo cha kimeamsha tafakari ya kwa nini habari zinatoa uzito mkubwa kwa kifo cha mwanamziki huyu badala ya majanga mengine:

스페인어

para el blogger ugandés rosebell, la muerte de jackson impulsó la reflexión sobre por qué las noticias prestan mucha más atención a la muerte de una estrella del pop que a otras tragedias:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

taswira hii kutoka katika kituo cha setilaiti cha habari zinazohusu majanga inapima umbali kutoka kwenye kitovu cha tetemeko hadi kwenye maeneo waliyokuwa wakii shi watu kablka ya tetemeko huko kusini mwa haiti.

스페인어

esta imagen del centro para la información de la crisis por satélite, muestra las distancias del epicentro del terremoto donde la gente vivía en el sur de haití antes del terremoto.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matukio ya hivi karibuni katika magereza ya amerika ya kusini yanayogharimu maisha ya mamia ya wafungwa yamesababisha watu kuyaangalia mazingira ya kuishi na kujazana mno kunakoyakabili magereza hayo, na kuainisha iwapo kuna majanga yanayongoja kutokea.

스페인어

brasil: los deficientes sistemas penitenciarios en latinoamérica los recientes episodios ocurridos en prisiones latinoamericanas que han costado la vida a cientos de presos, han llamado la atención sobre las condiciones de vida y de hacinamiento en las que se vive en los centros penitenciarios, así como sobre si estas tragedias son o no evitables.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wataalamu kuhusu nchi ya haiti na watetezi wa masuala ya uhamiaji kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihimiza kwamba ruhusu itolewe ili raia wa haiti wapate hadhi ya tps hasa kwa kuzingatia majanga ya vimbunga na dhoruba nyingine ambazo zimekuwa zikiipiga nchi hiyo katika muongo uliopita.

스페인어

los expatriados haitianos y los defensores de la inmigración han clamado desde hace tiempo el tps para los haitianos, especialmente a la luz de los numerosos huracanes y tormentas grandes durante la década pasada.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa sababu yoyote iliyosababisha kuanguka kwa ndege ya shirika la ndege la malaysia boeing 777 kwa mara ya pili ndani ya siku, na kupoteza watu 537 katika majanga mawili ya anga, haisaidii kuinua imani ya wasafiri kwa shirika hilo la ndege.

스페인어

cualesquiera que fueran las causas de la caída por segunda vez de un boeing 777 de ma en 133 días, perder 537 personas en dos desastres aéreos no contribuye a que los pasajeros recuperen la confianza en la aerolínea nacional.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa nini – wakati nchi imepokea misaada ya chakula yenye thamani ya si chini ya dola za kimarekani bilioni moja wakati wa majanga ya matetemeko ya ardhi ya mwaka 1995 na 2010 – bado baa la njaa linaongezeka?

스페인어

¿por qué –cuando el país ha recibido por lo menos mil millones de dólares estadounidenses en ayuda alimentara entre 1995 y el terremoto de 2010– el hambre aumenta?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati idara inayoangalia athari na majanga, bgnrc bado haina tovuti, taarifa zinahusu madhara yaliyotokea zinakusanywa na wanablogu wawili, marie sophie digne pamoja na tomavana katika zana-huria ya google map.

스페인어

mientras que el bgnrc (departamento de manejo de riesgo y desastre) sigue sin tener un sitio web oficial, los bloggers, marie sophie digne y tomavana (fr) están agregando los informes relativos a los daños en un mapa de google de fuente abierta.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

haiti ina majanga yake, ambayo yanasababisha moyo wa huruma, na sisi tuna majanga yetu, ambayo hufanya uharibifu sawa tu na ule wa tetemeko, matamko kama haya ya rais ambaye anashindwa kuwa mbali na mitafaruku, na ambaye rekodi yake ni chanzo zha utata.

스페인어

haiti tiene la suya, lo cual genera mucha compasión, mientras que nosotros tenemos la nuestra, que daña igual que un terremoto, esas son las declaraciones de un presidente que camina en la cuerda floja y cuyo record es fuente de controversia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,764,070,305 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인