검색어: nyota (스와힐리어 - 아랍어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

아랍어

정보

스와힐리어

nyota

아랍어

نجم

마지막 업데이트: 2013-10-31
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

tena nitawapa nyota ya asubuhi.

아랍어

واعطيه كوكب الصبح.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno.

아랍어

فلما رأوا النجم فرحوا فرحا عظيما جدا.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.

아랍어

ونجوم السماء تتساقط والقوات التي في السموات تتزعزع.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

hapo, herode aliwaita faraghani hao wataalamu wa nyota, akawauliza wakati hasa ile nyota ilipowatokea.

아랍어

حينئذ دعا هيرودس المجوس سرّا وتحقق منهم زمان النجم الذي ظهر.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

nazo nyota za mbingu zikaanguka juu ya ardhi kama matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

아랍어

ونجوم السماء سقطت الى الارض كما تطرح شجرة التين سقاطها اذا هزتها ريح عظيمة

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

na hatimaye, timu ya kandanda ya wamisri mara nyingi humwongeza nyota mwingine kwenye jezi zao kila mara wanaposhinda kombe la mataifa ya afrika.

아랍어

أخيراً، غالباً ما يضيف المنتخب المصري نجمة عندما يفوزون بكأس الأمم الأفريقية، لكن عادل غالي يتساءل هنا إن كان هناك مكان لنجمة أخرى:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

kisha malaika wa tano akapiga tarumbeta yake. nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka juu ya nchi kutoka mbinguni. nayo ikapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.

아랍어

ثم بوق الملاك الخامس فرأيت كوكبا قد سقط من السماء الى الارض وأعطي مفتاح بئر الهاوية.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

baada ya kumsikiliza mfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto.

아랍어

فلما سمعوا من الملك ذهبوا واذا النجم الذي رأوه في المشرق يتقدمهم حتى جاء ووقف فوق حيث كان الصبي.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

kwa hiyo, kutoka katika mtu huyo mmoja, abrahamu, ambaye alikuwa kama amekufa, walitokea watu wengi wasiohesabika kama vile nyota za mbinguni na mchanga wa pwani.

아랍어

لذلك ولد ايضا من واحد وذلك من ممات مثل نجوم السماء في الكثرة وكالرمل الذي على شاطئ البحر الذي لا يعد

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

ninyi mlikibeba kibanda cha mungu moloki, na sanamu ya nyota ya mungu wenu refani. sanamu mlizozifanya ndizo mlizoabudu. kwa sababu hiyo nitakupeleka mateka mbali kupita babuloni!

아랍어

‎بل حملتم خيمة مولوك ونجم الهكم رمفان التماثيل التي صنعتموها لتسجدوا لها. فانقلكم الى ما وراء بابل

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

wakauliza, "yuko wapi mtoto, mfalme wa wayahudi, aliyezaliwa? tumeiona nyota yake ilipotokea mashariki, tukaja kumwabudu."

아랍어

قائلين اين هو المولود ملك اليهود. فاننا رأينا نجمه في المشرق واتينا لنسجد له.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

herode alipogundua kwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa, alikasirika sana. akaamuru watoto wote wa kiume mjini bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yake wauawe. alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota.

아랍어

حينئذ لما رأى هيرودس ان المجوس سخروا به غضب جدا. فارسل وقتل جميع الصبيان الذين في بيت لحم وفي كل تخومها من ابن سنتين فما دون بحسب الزمان الذي تحققه من المجوس.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

lina rais wake, serikali yake na kwa hakika hawataki kuwa na watawaliwa pale. @aessameldin: gamal mubarak atakuwa nyota katika (filamu ya) kujaribu kutoroka gerezani, na mkewe khadija atajiunga na timu ya wapiga picha wa (filamu ya) wake wasio na matumaini.

아랍어

@montuessam: اقسم بالله انا بقيت حزين انى مصرى لما اشوف كميه الغل والحقد والتشفى اللى فى شعب مص هو ايه اللى بيحصل هو احنا وحشين من جوانا اوى كدا؟

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

인적 기여로
7,739,410,046 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인