전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
pakwenda ni kwa kusoma-tu.
la celo estas nur legebla.
마지막 업데이트: 2014-08-15
사용 빈도: 1
품질:
simu za mkononi zimeenea sana nchini afrika kusini na fundza wanalenga kuwasaidia watoto wapende kusoma.
poŝtelefonoj eksplode populariĝis en sud-afriko kaj fundza kaptis la okazon por igi infanojn legi.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
tumia wakati wako na juhudi yako katika kusoma hadharani maandiko matakatifu, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.
gxis mi venos, atentu legadon, konsilon, instruadon.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
baada ya kusoma, akafunga kile kitabu, akampa mtumishi, kisha akaketi; watu wote wakamkodolea macho.
kaj kunvolvinte la libron, kaj redoninte gxin al la subulo, li sidigxis; kaj la okuloj de cxiuj en la sinagogo atente lin rigardis.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
unaweza kusoma mahojiano ya nyerere, aliyoyafanya na ikaweba bunting wakati akiwa hai, kujifunza zaidi kuhusu maono aliyokuwanayo nyerere kwa ajili ya tanzania.
legu ĉi tiun intervjuon kun nyerere, faritan de ikaweba bunting kiam li ankoraŭ vivis, por sciiĝi pli multe pri la vidpunkto de nyerere por tanzanio.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
yesu akawajibu, "je, hamjapata kusoma juu ya kile alichofanya daudi wakati alipohitaji chakula? yeye pamoja na wenzake waliona njaa,
kaj li diris al ili:cxu vi neniam legis, kion faris david, kiam li havis bezonon kaj malsatis, li kaj liaj kunuloj?
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
lauri anaandika kuhusu mradi uliopo afrika kusini, mfuko wa usomaji wa fundza, unaotumia teknolojia ya simu za mkononi kuhamasisha tabia ya kusoma kwa watoto:
lauri skribas pri projekto en sud-afriko, 'fundza literacy trust', kiu utiligas poŝtelefonojn por kuraĝigi infanojn legi:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
unahitaji kusoma kwa makini sera inavyosema: inasema kiswahili kitafundishwa katika ngazi zote na pia inasema kiingereza kitaendelea kutumika katika ngazi zote (maana yake ni pamoja na shule ya msingi).
vi bezonas atente legi, kion diras la politiko: ĝi diras, ke la svahila estos uzata je ĉiuj niveloj, kaj ankaŬ diras, ke la angla estos uzata je ĉiuj niveloj (ĉi tio signifas, inkluzive de elementlerneja nivelo).
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
na alfajiri mwasema: leo hali ya hewa itakuwa ya dhoruba, maana anga ni jekundu na tena mawingu yametanda! basi, ninyi mnajua sana kusoma majira kwa kuangalia anga, lakini kutambua dalili za nyakati hizi hamjui.
kaj frumatene:estos hodiaux malbona vetero, cxar la cxielo rugxigxas kolere. la vizagxon de la cxielo vi povas jugxi, sed la signojn de la tempo vi ne povas.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질: