검색어: alidai (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

alidai

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kwa mujibu wa anny, atuguba alidai kuwa,

영어

according to anny, atuguba remarked that,

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jamaa huyo alidai hatarudia tena kufanya kitendo kama hicho.

영어

the guy claimed he will never again commit an act like this one.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jamaa anayejiita george scalvini alidai kuwa na haki miliki ya video hiyo.

영어

some george scalvini guy claimed intellectual ownership of the video.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alidai kupigwa makofi, mateke, kutukanwa kwa maneno vibaya na nywele zake kuvutwa.

영어

she claimed to have been slapped, kicked, verbally abused and had her hair pulled.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama huu ndio uzoefu ambao sata alidai kuwa nao ili kuendesha serikali basi anahitaji kuchunguzwa ubongo?

영어

if this is the experience that sata claimed he had to run govt then he needs brain check?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

michael smith alidai kuwa wafanyakazi wa benki na wahudumu madukani wanahofia matumizi mabaya yanayoweza kutokea ya vazi hilo.

영어

michael smith argued that bank staff and shop assistants are concerned with possible criminal misuse.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

haitham makkawi alikuwa kwenye eneo la tukio na alidai kwamba wakaazi wa al-daim wamejaza eneo hilo:

영어

haitham makkawi was on the ground and claimed that al-daim residents have taken over the scene:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kila mtu niliyeonana naye katika vilabu vya wageni alidai kuwa mwandishi au msanii, lakini hungeweza kuona maandishi mengi au sanaa.

영어

every second person at a given expat bar claimed to be a writer or artist, but you never saw much writing or art.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

gavana huyo wa zamani alidai anuani hizo za twita ni bandia zinazoendeshwa na kundi la watu wenye lengo la kusambaza uongo na upinzani dhidi yake na kampeni zake.

영어

the former governor claimed the accounts were all fake profiles orchestrated by a specific group to disseminate lies and criticism about him and his campaign.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mtumiaji mwingine wa mtandao alidai kwmaba tatizo sio marais wa afrika bali wagombea urais wa upinzani wanaogombea mara nyingi, kama ilivyo nchini zambia:

영어

another netizen argued that the problem is not only with african presidents but also with "serial" opposition presidential candidates, like the ones in zambia:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

baada ya kupitishwa, museveni aliendelea kuwa na msimamo usioeleweka: alidai imekuwaje muswada upitishwe bila yeye kujulishwa, na kwa haraka kiasi kile, tena na idadi ndogo ya wabunge wakiongozwa na spika kadaga.

영어

after its passing, museveni continued to pursue an ambiguous position: he claimed how the bill was passed without his consultation, and in a rushed manner, by a small number of mps led by speaker kadaga.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

afisa wa kutathmini na uandikishaji (muamuzi wa amani), keith bardwell, alidai kwamba katika uzoefu wake, “ndoa za rangi tofauti hazidumu kwa muda mrefu” na akasema alikuwa “akiamua hivyo kwa ajili ya watoto wa wanandoa hao”.

영어

the justice of the peace, keith bardwell, claimed that in his experience, "interracial marriages do not last long" and stated that he was "doing it for the children."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,761,944,416 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인