전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
lakini mungu alimfufua siku ya tatu, akamfanya aonekane
him god raised up the third day, and shewed him openly;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
lakini yule ambaye mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza.
but he, whom god raised again, saw no corruption.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
basi, mungu alimfufua huyo yesu na sisi sote ni mashahidi wa tukio hilo.
this jesus hath god raised up, whereof we all are witnesses.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
mungu wa babu zetu alimfufua yesu baada ya ninyi kumwua kwa kumtundika msalabani.
the god of our fathers raised up jesus, whom ye slew and hanged on a tree.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
lakini mungu alimfufua kutoka wafu akamwokoa katika maumivu ya kifo kwa maana haingewezekana kabisa kifo kimfunge.
whom god hath raised up, having loosed the pains of death: because it was not possible that he should be holden of it.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
kama ukikiri kwa kinywa chako kwamba yesu ni bwana na kuamini moyoni mwako kwamba mungu alimfufua kutoka wafu, utaokoka.
that if thou shalt confess with thy mouth the lord jesus, and shalt believe in thine heart that god hath raised him from the dead, thou shalt be saved.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
na sasa mwamngojea mwanae ashuke kutoka mbinguni, yesu, ambaye mungu alimfufua kutoka wafu, na ambaye anatuokoa katika ghadhabu ya mungu inayokuja.
and to wait for his son from heaven, whom he raised from the dead, even jesus, which delivered us from the wrath to come.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
basi, ilikuwa kwa ajili yenu kwanza kwamba mungu alimfufua mtumishi wake, alimtuma awabariki kwa kumfanya kila mmoja wenu aachane kabisa na maovu yake."
unto you first god, having raised up his son jesus, sent him to bless you, in turning away every one of you from his iniquities.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
zaidi ya hayo sisi tungekuwa mashahidi wa uongo mbele ya mungu, maana tulisema kwamba mungu alimfufua kristo kutoka wafu na kumbe yeye hakumfufua--kama ni kweli kwamba wafu hawafufuliwi.
yea, and we are found false witnesses of god; because we have testified of god that he raised up christ: whom he raised not up, if so be that the dead rise not.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질: