전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
naye mungu aliimarisha ahadi yake kwa kiapo; na kwa namna hiyo akawaonyesha wazi wale aliowaahidia kwamba hatabadili nia yake.
wherein god, willing more abundantly to shew unto the heirs of promise the immutability of his counsel, confirmed it by an oath:
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
ndugu zangu wapenzi, sikilizeni! mungu amechagua watu ambao ni maskini katika ulimwengu huu ili wapate kuwa matajiri katika imani na kupokea utawala aliowaahidia wale wanaompenda.
hearken, my beloved brethren, hath not god chosen the poor of this world rich in faith, and heirs of the kingdom which he hath promised to them that love him?
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질: