검색어: anaonekana (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

anaonekana

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

rais kagame anaonekana kukubaliana na sheikh fazil::

영어

president kagame seems to agree with the sheikh fazil:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mhusika mkuu anaonekana kama mtu wa kutoka sayari nyingine.

영어

the character is too out-of-this-word.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bloga mbak rita amegundua kwamba clinton anaonekana kijana sana leo:

영어

mbak rita observes that clinton looks younger today:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika historia hii ya marekani, obama anaonekana kama anayepuuzia mambo kwa mtazamo chanya.

영어

against this background of us, obama comes across as positively neglectful.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@mme_bavarde rt @sharifkouddous:baradei ambaye anaonekana kuwa hajapotoka, anaheshimika.

영어

@mme_bavarde rt @sharifkouddous: baradei seen as non-corrupt, is respected.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

foleni kwenye vituo vya kupigia kura ni ndefu sana, zinaenda taratibu na ni joto, lakini hakuna mtu anaonekana kujali.

영어

queues at polling stations long, slow & hot, but nobody seems to mind.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

naanza kufikiri kuwa serikali ya marekani ilimtumia clinton wa uongo, kwa sababu yule mwanamke anaonekana mzee sana na jimama kuwa clinton wa kweli.

영어

i'm starting to think the us government sent a fake one to us, because that woman looks too old and motherly to be hillary!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

augustine s, mkameruni anayeishi kanada anaonekana kuridhishwa na hotuba hiyo iliyokemea ufisadi moja kwa moja pamoja na utawala mbovu lakini anataka zaidi:

영어

augustine s, a cameroonian based in canada seems pleased with the speech's direct attack on corruption and bad governance but wants more:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tangu afyatue kibao chake kinachohusu uhuru wa kujieleza, hata hivyo, zen anaonekana kubwagwa na vyombo vya habari vya ki -macedonia.

영어

since releasing a song about freedom of speech, however, zen seems to have been dropped by macedonian media.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kabila anaonekana kutumia mbinu zisizo za moja kwa moja kutafuta kugombea muhula mwingine wa urais katika uchaguzi wa unaotarajiwa kufanyika mwakani, kwa kuandaa sensa ambayo kwa kawaida huchukua miaka mitatu kukamilika.

영어

kabila seeks to indirectly extend his term, which is coming to an end next year, by organizing a census that would take 3 years to complete.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kila mmoja anaonekana kusema ah alikufa akiwa bado kijana wa miaka 50, na nilifikiri pia kwamba katika uganda wastani wa umri wa kuishi ni miaka 50. je unajua kuwa katika afrika kufa kwa uzee ni historia?

영어

everyone seemed to say oh he died young at 50, and then i thought that actually in uganda life expectancy is at 50. do you know in many african countries dying of old age is almost history?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"kwa kweli nafikiri anaonekana kijana na mrembo, pengine inatokana na tabasamu lake alilotoa wakati wa ziara yake hapa… watu wengine katika kipindi cha maongezi cha televisheni nilichokitaja kabla walisema kwamba watu wa jakarta walijawa jazba za bure kuhusu ziara yake.

영어

"i really think that she looks younger and more goodlooking, maybe it was because of her constant smile she gave during her visit here...some people on some boring tv talkshow mentioned previously that jakarta is a little overreacted with her visit.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,761,935,963 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인