인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.
전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
mwili wa kiongozi huyo wa waasi utafanyiwa uchunguzi zaidi wa dna ili kuthibitisha utambuzi wake.
the body of the rebel leader will undergo dna tests to confirm identity.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
ni katika milima hiyohiyo ambapo zilifanyika mechi za soka za hisani ambazo kwazo rais evo morales alishiriki ili kuthibitisha kwamba michezo inaweza kuchezwa katika maeneo ya ukanda wa juu.
the mountains have also hosted charity football matches in which bolivian president evo morales participated, seeking to prove that the sport can be played at high altitudes.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kwa maneno mengine, wong na wengine kama yeye wanatakiwa kutambua kuwa mpira kwa sasa upo katika mipaka ya chama tawala cha pap ili kuthibitisha kuwa wanaweza wsiwe wafuasi wa chama, bali ni watu wanaokipinga chama kwa nguvu zote na ambao wanaipeperusha bendera nyekundu kwa ushirikiano wao wakiwa kama watu waliofundishwa siasa.
in other words, wong and others like him need to realise that the ball is in the pap's court to prove that they can be non-partisan, rather than lambast those who are raising the red flag on partisanship as 'politicised'.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
mwanamke akikamata madaraka ya juu humbidi kufanya kazi kwa bidii zidi kuliko mwanaume ili kuthibitisha uwezo wake, lakini bado hata akifanya hivyo anakumbana na uadui pamoja na mfumo unaomwona kuwa duni, iwe katika majukumu yake kama meneja na kiongozi, na hata katika mazingira yoyote ya kazi ambayo yanatawaliwa kwa kiasi kikubwa na wanaume.
a woman at the top works harder than a man to prove her skills, and yet she still must face entrenched prejudices and hostility, in her role as manager and leader, in a work environment largely dominated by males.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
tunatoa wito kwa wale wote ambao rafiki, ndugu, wenzao, au wapiganaji wenzao wametishwa kwa namna moja au nyingine ili kusaidia kutengeneza na kutoa taarifa mpya kuhusu wale waliopotea au waliokamatwa, ili kwamba tutafute vyanzo zaidi ili kuthibitisha na kuunganisha na kampeni za mtandaoni zinazolenga kuhakikisha wanaachiwa huru.
we're calling on those whose friends, relatives, colleagues, or compatriots, have been threatened to help create and update the profiles of those missing or under arrest, so we can seek additional sources, verify, and link to online campaigns dedicated to freeing them.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.