전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
hapa gulu kila mmoja lazima apate huduma za afya ya uzazi. bado wanawake wengi hawana huduma hizi
#gulu everyone should have access to reproductive health. still a lot of women lack this! #mpsengage pic.twitter.com/dzysvjnhyj — parliament watch (@pwatchug) february 26, 2015
wahudhuriaji kutoka gulu waliuliza maswali kupitia vinasa sauti, na wataalamu wa mitandao ya kijamii walitwiti maswali hayo kwa wabunge.
members of the audience in gulu asked questions via microphones, which were tweeted to the mps by a social media expert in the audience.
wakazi wa gulu walikuwa na majadiliano ya moja kwa moja kwa njia ya simu na mwenyekiti wa asasi ya uwopa, betty among - maswali yalijibiwa na moja kwa moja
#gulu had a live phone conversation with @uwopa chair betty amongi - answering and directly #mpsengage pic.twitter.com/r5ivjnyy46 — danny t (@dannyt_ug) february 26, 2015
wahudhuriaji walikuwa wa aina tatu na kwa wakati ule ule: watu wa gulu kaskazini mwa uganda, wabunge wanawake wa uganda na watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini uganda.
three audiences participated in the chat in real time: the people of gulu in northern uganda, female members of parliament and uganda's social media audience.
daniel turitwenka, mshauri mwelekezi wa mitandao ya kijamii, aliweka picha ya mshiriki wa gulu, kaskazini mwa uganda, akishiriki moja kwa moja kwa njia ya simu wakati wa mjadala huo:
daniel turitwenka, a social media consultant, shared a photo of a participant in gulu, northern uganda, in a live phone conversation during the chat: