검색어: helikopta (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

helikopta

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

wakati helikopta inalipuka.

영어

the moment the helicopter exploded.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tumeondoa kila kitu kutoka kwenye uwanja wa mpira ili kuruhusu helikopta kutua hapo.

영어

we have cleared a soccer field for helicopter landing.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

milio ya bunduki na milipuko inaiwamba mandhari ya anga jeusi yenye miungurumo ya ndege za kijeshi zisizoonekana na pia helikopta za kijeshi.

영어

the gunfire and explosions are framed against a background of a blackened sky buzzing with invisible war planes and attack helicopters.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa bahati wenzetu hao wako salama lakini wananing’inia kwenye miti iliyo juu ya vilima wakisubiri kuokolewa na helikopta!

영어

luckily all our guys are safe but hanging from trees and at hilltops waiting to be rescued by helicopter!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, makao makuu ya maafa yamesema uongo kwetu sisi kwamba wao waliwapeleka wanachama 555 wa uokoaji, helikopta 121 na mashua 169.

영어

however, the disaster headquarters have lied to us that they have dispatched 555 rescue team members, 121 helicopters and 169 boats.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

timu ya kuwaokoa ilikuwa chini ya watu 200 kulikuwa na helikopta mbili tu, mashua mbili baharini, mashua mbili za walinzi wa pwani, mashua sita ya vikosi maalum..

영어

the rescue team was less than 200. there were only two helicopters, two marine boats, two coast guard boats, six special forces boats.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

helikopta zilizobaki zilikuja karibu na uwanja wa ndege; hapo, hapakuwa na jibu lililopokelewa kuhusu ombi lililotolewa na mkuu wa mpaka kuhusu ulazima wa helikopta kupitia kwenye taratibu rasmi, zilizowasili bila maombi ya awali yaliyofanywa kwa kuvunja makubaliano yanayotakikana.

영어

the rest of the helicopters came down near the airport; herewith, there was no answer received on the border detail chief’s appeal concerning the necessity of passing the established formalities by these helicopters, which arrived without a preliminary made application in violation of relevant agreement.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mamia ya askari wa jimbo walipelekwa katika juhudi za kudhibiti magenge hayo yanayoshindana lakini haikusaidia: ugomvi kati ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya na polisi yalipelekea kutunguliwa kwa helikopta ya polisi na vifo vya polisi watatu, na kuchukua maisha ya zaidi ya watu 30 wengine, miongoni mwao wakiwemo watu wanaotuhumiwa kuwa wanachama wa magenge na wapiti njia.

영어

hundreds of state police deployed in an effort to subdue rival gangs did not help: the conflict between drug dealers and police resulted in a downed police helicopter killing three police officers, and claimed the lives of over 30 other people, among them suspected gang members and bystanders.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,749,207,567 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인