검색어: inakusudia (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

inakusudia

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kwa maneno mengine, inakusudia kukabiliana kile kinachoifahamika kuwa kukua kwa ubaguzi dhidi ya wakimbizi wa syria wanaoishi lebanoni.

영어

in other words, it aims to tackle what is perceived as growing discrimination against syrian refugees living in lebanon.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

chini ya mradi wa skopje 2014, serikali inakusudia kubadilisha eneo hilo la kisasa kuwa madhari ya mtindo wa kigen kwa kutumia euro milioni 9.

영어

under the skopje 2014 project, the government is turning the modernist facade into a faux-baroque style at a initial cost of 9 million euros.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

badala ya kuziba pengo la kipato miongoni mwa wananchi, watumiaji wa mtandao wanaamini kuwa sheria mpya inakusudia kuiba fedha kutoka kada ya wafanyakzi.

영어

instead of balancing the wealth gap, netizens believed that the new law is to steal money from the working middle class.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sehemu hii inakusudia kuonyesha makala nzuri za hivi karibuni katika mtandao wa global voices ambazo zilionyesha njia anuai ambazo video zimewasaidia watu kusimulia habari zao duniani kote.

영어

this section aims to showcase interesting and recent posts in global voices that show the many ways in which videos are helping people tell stories all around the world.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mujibu wa waliotia sahihi, kila kanuni inakusudia kulazimisha kanuni za mawasiliano ya simu na utangazaji zilizopitishwa na kongamano la mexico kuzingatia kanuni za kikatiba na sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu iliyotiwa saini na mexico.

영어

according to the signers, each regulation refered to telecommunications and broadcastiong approved by mexican congress should comply constitutional regulations and international rules about human rights signed by mexico.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

programu ya ‘kujenga utamaduni wa amani’ inakusudia kutengeneza sehemu ambamo vijana wa kipalestina na kiyahudi wanaweza kujisikia wako sawa, wanaheshimika na kutambulika kama watu na pia kama ushirika wa kitaifa.

영어

the ‘building a culture of peace’ program seeks to create a space in which both palestinian and jewish youth may feel equal, respected and recognized as individuals and as national collectives.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

watumiaji wa mtandao wanafuatilia kwa karibu yanayoendelea ndani ya sudani, kufuatia tetesi kwamba serikali ya sudani inakusudia kukata mtandao wa intaneti –hatua inayokumbushia jaribio la misri kuwanyamazisha wanaharakati na kuthibiti mapinduzi ya januari 25 pale ilipoondoa uwezekano wa watu kuwasiliana kwa mtandao wa intanenti mnamo januari 27.

영어

netizens are watching sudan closely, following rumours that the sudanese authorities intend to cut off the internet - a chilling reminder of egypt's attempt to silence activists and contain the january 25 revolution when it pulled the plug off the www on january 27.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati ambapo makala haya yanakwenda mitamboni, karibu watu 1,735,000 walikwishatia saini kuunga mkono muswada wa sheria inayojulikana kama ficha limpa (yaani mtu safi au mtu asiye na rekodi ya uhalifu), na sheria hiyo inakusudia kuwazuia wanasiasa ambao wametenda makosa makubwa ya jinai kama vile matumizi mabaya ya fedha za umma, ufisadi, mauaji na kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya ili kwamba wasipate fursa ya kugombea nafasi yoyote ya kuchaguliwa.

영어

at the exact moment of this post's publication, over 1,735,000 people had already signed a petition supporting the ficha limpa (no criminal record) bill, which seeks to prevent politicians who have committed serious crimes, such as misuse of public funds, corruption, murder and drug trafficking, from running in elections.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,733,166,347 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인