전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
marekebisho kwa kazi na ratiba yetu
adjustments to our work and schedules
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
wizara ya kazi na sera ya jamii.
ministry for labor and social policy.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
video za x za kazi na za kiswahili
video x za kutokana na za kiswahili
마지막 업데이트: 2022-05-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mtu kupewa kazi na padri baada ya pentensia
secretary in the department of construction
마지막 업데이트: 2023-10-13
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
hakuna mtu anastahili kufungwa kwa kufanya kazi na ngo ...
no one should be imprisoned simply for working for an ngo ... #ngo #ngocrackdown
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
nilijiona mwenye bahati sana kwa kutokea kufanya kazi na zelalem.
i consider myself very lucky to have worked with zelalem.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
alifunga kazi na kuanza kusherehekea kuanzia takriban alipofika mita 75!
he shut down and started celebrating the win from about the 75 metre mark!
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
zambia: furaha ya kufanya kazi na jamii za vijijini huko zambia
zambia: the joys of working with rural communities · global voices
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
hata hivyo, @gulnarakarimova , inafanya kazi na inawafuatiliaji zaidi ya 1,800
however the second one, @gulnarakarimova , is active and has over 1,800 followers
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
hao ni wateja kwenye mimi na fanya kazi na hicho chakula mimi ndio nimepika mimi ni mpishi
i'm alone
마지막 업데이트: 2023-12-09
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
rakesh katal anaeleza furaha na changamoto za kufanya kazi na jamii za huko zambia vijijini.
rakesh katal recounts the joys and challenges of working with communities in rural zambia.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
amira amefukuzwa kazi na amenyimwa haki zake za fedha na maadili kwa sababu alisema hapana!
amira got fired and is being denied her financial and moral rights because she said no!
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
katika visa vingine, ugonjwa unaweza kuendelea kuwa nimonia, viungo anuwai kutofanya kazi na kifo.
in some, the disease may progress to pneumonia, multi-organ failure, and death.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kijiji cha matumaini kimekuwa na maridhiano na kimefanya kazi na serikali kwa miaka 10, na kimekuwa na matatizo machache.
the village of hope has been in compliance and worked with the moroccan government for 10 years, and have had very few problems.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
alissa alikuwa amekuja kenya, na kwa muda wa miezi kadhaa, alikuwa anafanya kazi na watu wanaoishi kibera.
alissa had come to kenya and for several months she had been working with the people living in kibera.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
badala yake, ni utambuaji kwamba kwa wakati huu, kazi na majukumu yetu yana uwezekano wa kubadilika kwa njia ambayo hatujaiona zamani.
rather, they are a recognition that at this moment, our work and obligations will likely need to adapt in a way we have not in the past.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
nafanya kazi na watu wa hq napia najibu kulingana na majibu nayopewa sipendi kufokewa na sipendi lawama au mnataka niende dar kwa miguu kufata router please kuweni wapole
마지막 업데이트: 2024-02-13
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
bado naendelea kukutana na kufanya kazi na watu niliokutna nao katika jukwaa lile kamambe na nina matarajio ya kukutana na watu wengine tena wenye vipawa vya pekee katika global pulse 2010.
i still meet and work with people i met in that truly remarkable jam and expect to meet other extraordinary individuals in global pulse in 2010.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
nakumbuka wakati mmoja nilimuuliza alivyokuwa anajisikia asubuhi wakati tukiwasilisha kazi na yeye alisema kwamba alikuwa hajalala kwa sababu alikuwa amempeleka mke wake na mtoto wake erica hospitalini kwa sababu ya homa ya kuota meno.
i remember one time asking him how he was on a morning when we had to hand in assignments and he said that he hadn’t slept because he had had to take his wife and his baby daughter erica to the hospital because she was teething.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
baada ya hapo, matamko kadhaa yalisomwa na mtangazaji, hasa akieleza jinsi mabilioni ya dola yatakavyotumika katika kujenga nyumba bora, kazi na afya kwa raia wote wa saudia.
following that, a series of royal decrees were read by an announcer,outlining how billions of dollars would be spent to provide better housing, jobs and health care to saudis.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인: