검색어: kigezo kikuu kwa upande wa wafugaji ni (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kigezo kikuu kwa upande wa wafugaji ni

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

lakini #dershowitz alizungumza kwa upande wa kijinga na akijifanya bora.

영어

but #dershowitz spoke from a place of ignorance and was condescending.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ev: kwa upande wa mama - kusema ukweli, yeye yuko salama, kila kitu ni shwari sasa.

영어

ev: for my mother- well, she is ok, everything is fine.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sd: wapo baadhi ya watu wa alawite katika serikali ya mpito, kwa upande wa upinzani.

영어

sd: there are some alawites in the coalition, in the opposition.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

karibu wote ndugu zangu kusudi la group ni kufaamiana kama ndugu kwa upande wa malonza na kama unayo mawasiliano na wengine just waunganishe

영어

my brothers i love them so much

마지막 업데이트: 2023-01-07
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kifungu cha data nilikuwa nataka kusaidiwa kupitia kwa data bundle nikinunu credit before nitumie inaingia kwa upande wa data sasa nataka mstop

영어

data bundle

마지막 업데이트: 2021-06-02
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

au labda picha inayomwonyesha mama janet akiwa amekumbatia mtoto mdogo wa jamii ya karamojong itakuwa ni sehemu ya kujijengea sifa kwa upande wa serikali ya museveni.

영어

perhaps a picture of mama janet cuddling a snotty nosed karamojong baby will be good pr for the museveni government.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kinachoigwa kuhusu malaysia ni uharakishaji wa maendeleo katika miaka 50 iliyopita, au miaka 60 kwa upande wa muda walipata uhuru, lakini hiyo imefanikiwa vile vile kwa upande wa korea kusini

영어

what is copied from malaysia is expediting development in the last 50 years, or 60 years in terms of the time they have freedom, but this succeeded in the south korea side also.

마지막 업데이트: 2013-04-24
사용 빈도: 3
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakati huo huo vyombo vipya vya habari vilitumika kwa ufanisi mkubwa na upande wa upinzani uliokuwa unajaribu kuvuta macho ya jumuiya ya kimataifa na kugeuza mwelekeo wa maoni ya umma kwa upande wa waandamanaji.

영어

at the same time, new media were efficiently used by the opposition attracting the attention of international community and shifting public opinion to the side of the protesters.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa upande wa upinzani kuna pongezi kwa henrique capriles na timu yake ya kampeni, kukosolewa kwa tabia ya rais kubahatisha fursa, na madai ya ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zinazoanzia kipindi cha kampeni.

영어

on the side of the opposition there is gratitude for henrique capriles and his campaign, criticism towards the president's opportunism, and allegations of serious irregularities that go back to the days of the campaign.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

sijui nini kingine kitatokea, jambo hili si zuri kwa upande wa kuinua imani ya wawekezaji nchini, haitashangaza kuona rand inaporomoka kuliko ilivyowahi kufanya hapo kabla, maana yake tunapeperushia mbali ndoto ya 2010.

영어

i don’t know what’s going to happen now, this cannot be good for investor confidence in the country , the rand is most probably going to get shot to hell and there goes the 2010 dream.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

siku ya alhamis nilihudhuria mkutano wa chadema (chama cha demokracia na maendeleo au party of democracy and development) cha dakta slaa, ambaye ni mgombea mwenye mvuto zaidi kwa upande wa upinzani tanzania bara.

영어

on thursday afternoon i attended a chadema (chama cha demokracia na maendeleo, or party of democracy and development) political rally for doctor slaa, the most popular opposition presidential candidate on the mainland.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na shirika la haki za kiraia na kisiasa la kisaudi (acpra) lilichapisha tamko lililotaka kuachiwa kwa wafungwa wote wa dhamira na pia kuwepo kwa mjadala wa kitaifa wenye usawa kati ya serikali kwa upande mmoja na wawakilishi wa wananchi waliochaguliwa kwa kura kwa upande wa pili.

영어

and the saudi civil and political rights association (acpra) published a statement calling for the release of all prisoners of conscience and for a national dialogue between the government and elected representatives of the people as equals.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

"kwa upande wa mume wangu, ile kunioa mimi (mwanamke wa kizungu) siyo njia ya kupanda hadhi - hakuamua kutafuta mwanamke wa ki-amerika au mzungu kwa ajili ya lengo hilo.

영어

" for my husband, being married to me (a white girl) isn't much of a status symbol - he didn't go out looking specifically for an american or a white girl.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

historia ya miongo ya karibuni ya machimbo ya dhahabu ya pueblo viejo,ambayo hutoa oksidi ya dhahabu kwa upande wa juu na sulfidi ya dhahabu kwa upande wa chini, inaanzia mwaka 1975 chini ya shirika la maliasili la rosario, kampuni ambayo hapo baadaye ilikuja kumilikiwa na dola la dominika chini ya jina la rosario dominicana, ambapo shughuli zake zilisitishwa moja kwa moja mnamo mwaka 1999 kwa sababu za kiuchumi na kimazingira.

영어

the contemporary history of the pueblo viejo gold mine, which produces gold oxide at the top and gold sulfide at the bottom, begins in 1975 with rosario resources corporation, a company that later passed into the hands of the dominican state under the name rosario dominicana, and whose operations ceased permanently in 1999 because of economic and environmental factors.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hukumu lazima iweke alama ya kuuliza dhidi ya vitendo vya rais wa zamani thabo mbeki, aliyemteua selebi, mwanzoni alichukua hatua zilizokuwa na lengo la kumlinda selebi na akadai kwamba hapakuwa na ushahidi wa makosa kwa upande wa selebi hata baada ya mbeki kupewa taarifa fupi na mkurugenzi wa taifa wa mashitaka ya umma (ndpp) kuhusu ushahidi dhidi ya ofisa huyo wa zamani wa polisi.

영어

the conviction must place a question mark over the actions of former president thabo mbeki, who appointed selebi, at first took steps aimed at protecting selebi and claimed that there was no evidence of wrongdoing on the part of selebi even after mbeki was briefed by the national director of public prosecutions (ndpp) about the evidence against the former top cop.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,763,745,907 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인