검색어: kudaiwa (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kudaiwa

영어

rogue

마지막 업데이트: 2014-03-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na akiwa mwenye kudaiwa ni mtu aliye pumbaa au mnyonge au hawezi kuandikisha mwenyewe, basi aandikishe mlinzi wake kwa uadilifu.

영어

but if the borrower be of low understanding or weak or unable to dictate (for any reason), then let the guardian of his interests dictate it with equity.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika waliofungwa ni pamoja waandishi wawili wa sweden wanaotumikia kifungo cha miaka 11 kwa kudaiwa kukisaidia kikundi cha waasi wa kabila cha kisomali.

영어

among those jailed are two swedish journalists who are serving an 11-year sentence for allegedly supporting an ethnic somali rebel group.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

alaa alihukumiwa kifungo cha miaka mitano kwa kudaiwa kushiriki maandamano na "kumtukana polisi na kumwibia redio ya upepo".

영어

alaa was slapped a five year prison sentence for allegedly taking part in a protest and “assaulting a policeman and stealing his walkie talkie.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

wala asipunguze chochote ndani yake. na akiwa mwenye kudaiwa ni mtu aliye pumbaa au mnyonge au hawezi kuandikisha mwenyewe, basi aandikishe mlinzi wake kwa uadilifu.

영어

but if he who oweth the debt is of low understanding, or weak, or unable himself to dictate, then let the guardian of his interests dictate in (terms of) equity.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hivi karibunituliandika kuhusu msichana wa miaka 10 aliyekuwa mjamzito nchini paraguay kwa kudaiwa kubakwa na baba yake wa kambo na namna alivyoshindwa kutoa mimba hiyo kwa sababu sheria za nchi hiyo zinazuia utoaji wa mimba.

영어

we wrote recently about about a 10-year-old pregnant girl from paraguay who was allegedly raped by her stepfather and who was unable to have an abortion because of legal limitations in the country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kufahamika kwa ufuatiliaji mkubwa wa majukwaa ya mtandaoni hivi karibuni nchini misri nauingereza, kufuatiliwa kwa waandishi wa habari nchini ethiopia, na kubughudhiwa kwa waandishi na wakosoaji wa serikali duniani kote (mara nyingi kwa mashtaka ya kudaiwa kuihujumu serikali) vyote vinathibitisha ukweli kwamba masuala haya yanayoibuliwa kwenye kampeni ya haki ya kutangaza hayana mipaka.

영어

recent revelations about mass surveillance of online platforms in egypt and the uk, surveillance of journalists in ethiopia, and harassment of journalists and whistleblowers around the world (often under the auspices of anti-state charges) underscore the fact that the issues raised in the right to report campaign are borderless.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,749,111,055 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인