검색어: kuwahukumu (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kuwahukumu

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake mungu aliye tayari kuwahukumu wazima na wafu!

영어

who shall give account to him that is ready to judge the quick and the dead.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kutoa hukumu juu ya binadamu wote, kuwahukumu wote kwa ajili ya matendo yao yote maovu waliyotenda na kwa ajili ya maneno yote mabaya ambayo watu waovu walimkashifu nayo."

영어

to execute judgment upon all, and to convince all that are ungodly among them of all their ungodly deeds which they have ungodly committed, and of all their hard speeches which ungodly sinners have spoken against him.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

je, ni shauri langu kuwahukumu watu walio nje? hao mungu atawahukumu. je, ninyi hampaswi kuwahukumu wale walio katika jamii yenu ninyi wenyewe?

영어

for what have i to do to judge them also that are without? do not ye judge them that are within?

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, rafiki, kama unawahukumu wengine, huwezi kamwe kujitetea haidhuru wewe ni nani. kwa maana, kwa kuwahukumu wengine, unajilaani wewe mwenyewe kwa vile nawe unayafanya mambo yaleyale unayohukumu.

영어

therefore thou art inexcusable, o man, whosoever thou art that judgest: for wherein thou judgest another, thou condemnest thyself; for thou that judgest doest the same things.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

watu wa mataifa waliwaka hasira, maana wakati wa ghadhabu yako umefika, wakati wa kuwahukumu wafu. ndio wakati wa kuwatuza watumishi wako manabii, watu wako na wote wanaolitukuza jina lako, wakubwa kwa wadogo. ni wakati wa kuwaangamiza wale wanaoangamiza dunia."

영어

and the nations were angry, and thy wrath is come, and the time of the dead, that they should be judged, and that thou shouldest give reward unto thy servants the prophets, and to the saints, and them that fear thy name, small and great; and shouldest destroy them which destroy the earth.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,731,243,916 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인