검색어: matokeo mengine ya query (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

matokeo mengine ya query

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

maana ya query

영어

for the query

마지막 업데이트: 2015-03-17
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mapinduzi tu mengine ya kijeshi, tafadhali.

영어

just have another military coup, please.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ndivyo yanavyofanya mashirika kama who na mashirika mengine ya afya.

영어

so do who and the other major health agencies.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mradi huu pia utazidi kupanuka taratibu katika maeneo mengine ya niger.

영어

the project will also expand gradually to other regions of niger.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na wengine wanadhani anatakiwa atumike kwenye matoleo mengine ya sesame street.

영어

and still others think she should be introduced on other versions of sesame street.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa upande mwingine, pale matokeo mengine ya utafiti yalipoonyesha kwamba odm walikuwa mbele, basi wale nao walipinga vikali wakidai kwamba yalikuwa ya uongo.

영어

on the other hand, if another pollster published results that favored odm, other players routinely dismissed it as bogus.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maandamano yalifanyika wakati huo huo kwenye mji mkuu wa santiago sambamba na maeneo mengine ya nchi hiyo.

영어

the march was simultaneously carried out in the capital city santiago and several other locations in the country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tayari kuna picha zilizopigwa kutoka katika baadhi ya video hizo katika maeneo mengine ya indonesia.

영어

some of the videos have been screened already in other parts of indonesia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ni ujumbe gani tunataka kuyaambia mataifa mengine ya afrika, na la muhimu sana, kwa ulimwengu?

영어

what message are we sending to our fellow african states, and most importantly, to the world?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

abidjan na maeneo mengine ya côte d'ivoire yamekumbwa na mafuriko makubwa katika majuma kadhaa yaliyopita .

영어

abidjan and other regions of côte d'ivoire have been plagued by heavy downpour and floods for the past weeks .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baadhi walizungumzia matatizo ya ubakaji nchini india wakati wengine waliyatazama matukio yanayoibukia katika maeneo mengine ya asia kusini.

영어

some spoke about india's rape problems while others looked at the rising instances of rape in the south asian region.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

anwani feki ya twita ya rossneft rais wa gor sechin ilionyesha kuwa papa huenda alikuwa na mambo mengine ya ndani yaliyomfanya ajiuzulu:

영어

the fake twitter account of rossneft president igor sechin implied that the pope may have had ulterior motives in resigning:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kemikali kadhaa ambazo hapo awali ziliidhinishwa kwa matibabu ya magonjwa mengine ya virusi zinachunguzwa kwa matumizi kutibu covid-19.

영어

several compounds that were previously approved for treatment of other viral diseases are being investigated for use in treating covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

idadi ya vifo inakadiriwa kuwa asilimia 1-3 ya watu walioambukizwa, wengi wao wakiwa wazee walio na matatizo mengine ya kiafya.

영어

case fatality rate is estimated at 1-3% of infected individuals, most of whom are elderly with underlying health conditions.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maandishi yenye maneno chevaux de frise yaliwekwa kuzunguka ikulu ya nchi hiyo, bunge la yuani na majengo ya serikali ya yuan pamoja na majengo mengine ya kiserikali.

영어

numerous chevaux de frise were placed around the presidential office, the legislative yuan, the executive yuan and other important government buildings.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

harakati hizi zimekuwa zikitumia ukurasa wa facebook kuhamasisha kiasi kwamba, maandamano mengine yalifuata katika majiji mengine ya brazil ambayo pia yanapinga ongezeko la nauli kwa usafiri wa umma.

영어

the movement has been using a facebook page to organize, and demonstrations have followed in other brazilian state capitals that are also protesting fare increases for public transportation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika kipindi hiki, kwa maeneo ya mijini, maji yatakuwa yakitolewa kupitia mbinu ya kupunguza kani eneo, lakini hakutakuwa na maji kwa mtaa wa gaoping na maeneo mengine ya pembezoni.

영어

during this time, water in the urban area of the city will be provided via depressurisation technics, but the water supply in gaoping district and remote areas will be suspended.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kituo cha hifadhi ya tembo kinajitofautisha na mashirika mengine ya utalii wa tembo kwa kuwatunza tembo kwa kuwajengea mazingira mazuri ya kuzaliana, uangalizi makini na wa karibu, matibabu na uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.

영어

elephant conservation center differentiates itself from elephant tourist camps by being a haven for elephant reproduction, lactation, convalescence and disease diagnosis.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baada ya china, covid-19 ilienea katika maeneo ya kijiografia na masuala ya janga la covid-19 katika maeneo mengine ya ulimwengu kwa sasa yanafuata yale ya nchi hii.

영어

subsequent to china, covid-19 underwent further geographical spread and the dynamic of the covid-19 pandemic in the rest of the world currently follows that of this country.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mashirika mengine ya habari yaliyoripoti maandamano hayo ni cnn, the star shirika la habari la ki-malaysia, new york times, yahoo news, abc news, na chicago tribune.

영어

other news outlets to cover the protests include cnn, the malaysian news outlet the star, the new york times, yahoo news, abc news, and the chicago tribune.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,774,090,684 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인