검색어: mishumaa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

mishumaa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

waandamanaji waliweka mishumaa mitaani na kuimba kwa sauti ya juu sana nyimbo mbalimbali za kulaani vitendo hivyo.

영어

protestors placed candles in the street and sang their condemnation in unison, at the top of their lungs.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sababu ilikuwa kwamba dhamiri yake ilimshtaki baada ya kuwa amewanyanyasa raia walioshiriki katika mkesha wa tukio la kuwasha mishumaa.

영어

the reason was that he felt guilty after suppressing civilians who attended candlelight vigils.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuna mchezo wenyewe, lakini kuna nyimbo, mishumaa ya kirumi, mabomu ya moshi, ngoma, honi.

영어

there is the game itself, but there are songs, roman candles, smoke bombs, drums, horns.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

aliniambia kuwa mwanawe amewasha mishumaa miwili na amesambaza wanasesere wake anajaribu kucheza, pamoja na baridi na hofu na makombora na vifo na athari.

영어

she told me he had lit two candles and laid out his toys and was trying, despite the cold and fear and shelling and death and trauma, to play.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika hatua hii ya ibada, afisa mmoja wa usalama pale bustanini alifika na kutangaza kwamba mishumaa yote izimwe na watu wote watawanyike kuondoka kwenye sehemu hiyo.

영어

at this point of the vigil, a security officer for the park came to announce that all candles should be blown out and that the people should vacate the corner of the park.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

karibu watu 70, ikiwa ni pamoja na wanafunzi kutoka afrika na china, walikaa kwenye kona ya mbali ya viwanja hivyo mbele ya picha maalum ya maombolezo wakiwa na mishumaa yao.

영어

nearly 70 people, including students from africa and china, sat in a remote corner of the park in front of a make-shift altar with candles.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tukio hilo lilihusisha kusomwa kwa mashairi yaliyotungwa na washiriki wenyewe, kuwasha mishumaa ya maombolezo inayoambatana na dakika moja ya kukaa kimya na pia kutengeneza kadi za pole zilizoandikwa kwa anuani za familia za wahanga 147 ambazo zingetumwa nchini kenya baadae.

영어

the event included a reading of original poetry, a candlelight mini-memorial with a minute of silence and also the creation of cards addressed to the families of the 147 victims to be mailed to kenya later.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanablogu mrwanda, negrita's chronicles, alitoa mwito kwa wasomaji wake kushiriki katika mkesha wa kitaifa wa kuwasha mishumaa ili kuwakumbuka wahanga wa mauaji. alifanya hivyo kupitia blogu yake:

영어

rwandan blogger negrita's chronicles asked her readers to join the nation-wide candlelight vigil for the victims through her blog:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jioni inapofika, kauli mbiu zinazidi kuongezeka, kadri giza linapozidi kuingia, mienge inatoa harufu mbaya kana kwamba ni adhabu, ninakusanya mienge yote iliyokwisha tumika, na kuweka makaratasi kwenye mafuta ya taa yaliyomwagika chini, ninapokuwa nimechoka zaidi, ninakula korosho na kuchoma maganda ya karanga kwa kutumia mishumaa inayowaka.

영어

the evening rolls in, the slogans get intense, as it becomes dark the burning torches smells like retribution, i collect all the used torches, put paper on the spilled kerosene, become more tired, eat peanuts and burn the peanut shells with burning candles.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,766,119,035 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인