검색어: mradi huu umeibuliwa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

mradi huu umeibuliwa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

habari kuhusu mradi huu zipo hapa.

영어

news stories about the project are here.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ukizingatia kwamba mradi huu unafikia ukingoni

영어

considering that this project is reaching the brink

마지막 업데이트: 2022-04-10
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa nini serikali iliamua kuuleta mradi huu?

영어

why did the government introduce the project?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

je huu ndio mwisho wa ruzuku ya un kwenye mradi huu?

영어

is this the end of the un-funded program for sex education for lour public schools?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mradi huu pia una wimbo maalum, "surprising europe".

영어

the project also has a hymn, "surprising europe".

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

tunatanguliza shukrani zetu tukitarajia kupata ruhusa kuteleleza mradi huu kwa wakati

영어

we extend our gratitude in anticipation of obtaining permission to carry out this project on time

마지막 업데이트: 2021-09-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

-mradi huu haukukusudiwa kwa namna yoyote kuharibu sifa ya daily star.

영어

-this project is not meant in any way to hurt the reputation of the daily star.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wengine wanahofu kuwa, hatimaye mradi huu utahamishiwa eneo la delta ya mto pearl.

영어

some are worried that the project will eventually find a home in the pearl river delta.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mradi huu unatarajia kukusanya kumbukumbu wa watu binafsi zipatazo milioni 5 ifikapo mwaka 2015.

영어

the project hopes to collect 5 million personal memories by 2015.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

serikali ya mtaa ilitangaza mradi huu wiki iliyopita na kuwapa wananchi siku kumi za kuwasilisha maoni yao.

영어

the local government announced the project last week, giving the public 10 days to submit comments.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

akiblogu katika design in africa, dave anaafiki kwamba mradi huu una uwezekano wa kufanikiwa:

영어

dave, blogging on design in africa agrees that this project will likely be a success:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hoja ya mradi huu ni kujaribu kuielekeza tovuti ya daily star kutoka kwenye kile tunachoamini ni mrengo usiosahihi.

영어

the point of this project is to try to steer the daily star's website away from what we believe is the wrong course

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata hivyo, mradi huu wa maendeleo haukusimamishwa, na miradi ya maendeleo zaidi katika eneo hili inaendelea kubuniwa.

영어

however, this development project was not dropped, and more development projects in this area are coming up.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mradi huu unazikutanisha jamii na hususani vijana ili waweze kudumisha amani pamoja na kulinda haki za binadamu na kuleta maridhiano.

영어

this initiative mobilizes communities especially the youth to pursue peace and human rights, reconciliation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

-wakati daily star watakapoweka tovuti bora zaidi badala ya hii iliyopo, mradi huu hautakuwa na haja tena ya kuwepo.

영어

-when the daily star finally puts a better website in place, this project will no longer have to exist.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hatujajidai kumiliki kitu hiki au kudai eti tuliandika makala. hii ndio maana mradi huu unajitahidi kuweka majina ya sahihi ya wachangiaji kwa kila makala.

영어

we never pretend that we own this stuff or that we wrote the articles, this is why this project strives to make the correct attributions to each and every article

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mradi huu unatuonyesha vyema maisha ya wakazi wa kibera—makazi duni yaliyo kubwa zaidi kenya—kwa mtandao wa tumblr.

영어

the project documents the lives of the residents of kibera—the largest urban slum in africa—on a tumblr blog.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

3 sheep anaeleza kwamba utumiaji wa simu za viganjani unaofanywa na mradi huu unaonyesha ni jinsi gani simu hizo zimejikita katika utamaduni wa afrika ya kusini, na anaongeza:

영어

3 sheep points out that this project's use of cell phones shows how embedded they are in south african culture, adding:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuua minyoo mara mbili kwa mwaka, ikiongezwa na kuosha mikono kila siku kwa sabuni, kupiga mswaki kila siku kwa florini, ni msingi wa mradi huu wa kitaifa.

영어

deworming twice a year, supplemented with washing hands daily with soap, brushing teeth daily with fluoride, is at the core of this national program.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa jazba na hali ya kukosa imani, mamia ya wakazi wa jiji la jiangmen waliendelea kuandamana na kuingia siku ya tatu ya maandamano tarehe 14 julai wakitaka kupewa hati maalum ya serikali inayoonesha kusitishwa kwa mradi huu.

영어

the government document on the cancellation of the nuclear plant project .with anger and distrust, hundreds of local residents continued to rally on the third day on july 14 demanding a written official document on the cancellation of the project.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,761,022,719 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인