검색어: muktadha (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

muktadha

영어

마지막 업데이트: 2020-11-26
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

amira howeidy anaonyesha muktadha:

영어

amira howeidy provides context:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

niggar hati yako haina muktadha yohw

영어

niggar your script lacks context yohw

마지막 업데이트: 2021-07-01
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

matokeo ya mkurupuko unaoendelea wa sar-cov-2 pia yamejadiliwa katika muktadha huu.

영어

the outcome of the ongoing sars-cov-2 outbreak is also discussed in this context.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwenye muktadha huu, uundaji wa hifadhidata ya mafuriko utachangia katika uamuzi wenye ufanisi mkubwa zaidi.

영어

in this context, the development of a floods database will contribute to a more effective decision-making.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

naam ninafikiri julius ni mpuuzi na asiyefahamu lolote na ni mbaguzi wa rangi, lakini tafadhali usininukuu nje ya muktadha.

영어

well i think julius is stupid and ignorant and a racist, but please do not quote me out of context!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini wakati unapoilaumu anc, basi wekeni mambo katika muktadha husika,” sapa ilimnukuu mthembu akisema.

영어

but when you blame the anc, then contextualise it,” sapa quotes mthembu as saying.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tovuti hiyo inawaonyesha wasomaji wake makala maalum ya jarida la uhamiaji wa kulazimishwa ambalo linaangalia kwa kina suala la teknohama katika muktadha huu.

영어

attention is especially drawn to a special issue of forced migration review which takes an in-depth look at the use of icts in this context.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika blogu ya crónicas, santos garcía zapata anaeleza muktadha kuhusu uamuzi wa rais wa kuanzisha mazungumzo ya amani na makundi ya waasi.

영어

in the blog crónicas, santos garcía zapata explains the context around the presidential decision to start peace talks with guerrilla groups.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

bunmi oloruntoba katika blogu ya a bombastic element anajadili kampeni ya kutengeneza chapa mpya katika muktadha wa mjadala wa hivi karibuni kwenye bbc juu ya suala hilo:

영어

bunmi oloruntoba at a bombastic element discusses the re-branding campaign in the context of a recent bbc discussion on the subject:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

blogu inayotokea brunei, the world according to panyaluru …, pia inaonyesha kuridhika na vyoo kwa kuliweka suala hili kwenye muktadha sawia:

영어

a blog from brunei, the world according to panyaluru ..., also shows appreciation for the toilet by putting it into perspective:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

interesing times, “mradi wa mtandaoni unaofuatilia jitihada za kudhibiti na kuzuia upatikanaji huru wa mtandao duniani kote,” waliyaweka mashtaka katika muktadha.

영어

interesting times, an "online initiative monitoring attempts throughout the world to censor and restrict free access to the internet," puts the trial in context.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

miaka mitano iliyopita ory okolloh – ambaye aliendelea na kuanzisha jukwaa lililofanikiwa sana la kuripoti la jamii ushahidi – alitoa maoni fulani yanayopaswa kurejewa katika muktadha wa midahalo hii.

영어

five years ago ory okolloh - who went on to found the wildly successful citizen reporting platform ushahidi - made some comments that are worth revisiting in the context of those debates.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ilhali kampeni la kony 2012 hakika limepata usikivu lililotaka, waganda na waafrika wengi wanaona kwamba ujumbe wake umekosa muktadha na maelezo sahihi kuhusu joseph kony. zaidi ya hiyo, kampeni lenyewe lilijishughulisha na kuchanga pesa kwa shirikisho lililoanzisha kampeni lenyewe badala ya kuwawezesha watu walioathiriwa na vita hivyo kujiendeleza.

영어

while the kony 2012 campaign certainly received the attention it sought, many ugandans and africans felt its message lacked the nuance required by context, and was more focused on raising funds for the organisation's own survival rather than empowering the people affected by the conflict.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa nini wanaenda nje ya njia zao na kuwa washenzi wa ki-ooga-booga?... haiwezekani kutojali jinsi wanaijeria wanavyoonyeshwa ambavyo kukiangaliwa katika muktadha mpana, kumepita hali ya kuumiza au kudhalilisha lakini ni hali ya hatari.

영어

why do they have to go out of their way to be ooga-booga savages? ….it is impossible to disregard the charged portrayal of nigerians which when viewed in a larger context, is beyond damaging or defamatory but is dangerous.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,740,817,449 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인