검색어: nyota 4 au zaidi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

nyota 4 au zaidi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

na tulimtuma kwa watu laki moja au zaidi.

영어

and we had sent him to a hundred thousand: rather they exceeded.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

iwapo una homa ya kiwango cha mia au mbili au zaidi

영어

if you have a fever of a hundred and two or higher

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bango hili linapatikana kwa yeyote anayechangia dola za kimarekani 25 au zaidi.

영어

the poster is available to anyone who donates us$25 or more.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 55 au zaidi kidogo. watoto wake walimfukuza kutoka kwenye nyumba yake mwenyewe.

영어

a man, aged 55 or a little older. his children threw him out of his home.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ni katika kipindi cha kizazi kimoja tu kilichopita ambapo wamalawi wengi walikuwa wakizungumza lugha zaidi ya moja, kwa wastani wa lugha mbili au zaidi.

영어

just a generation ago most malawians were multi-lingual, speaking two or more languages on average.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama nchi, inatubidi tufute vipengele kwenye katiba ambavyo vinatoa nyumba 3 au zaidi pamoja na magari n.k. kwa watu ambao walilitumikia taifa hili.

영어

as a country, we should wipe off the letters in the constitution that give those 3 or more houses plus cars etc to people who have served this country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jambo la kusikitisha ni kuwa serikali ilikuwa imeridhika na kuachia mambo yaendelee kuwa yalivyo (pengine kwa miaka 10 au zaidi) mpaka jambo kubwa lilipotokea, kama vile ujio wa papa.

영어

the sad part is that it seems the government was content to just let things be (possibly for as long as 10 years or longer) until something big came up, like the pope’s arrival.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

familia nyingine hutoa nyama yote kwa wale wenye uhitaji, wakati wengine (kama famialia yangu ya kufikia) hula mpaka kiungo cha mwisho, na hubaki na nyama itakayowatosha kwa miezi miwili au zaidi.

영어

some families give all the meat to those in need, while some (like my host family) eat every last organ, and have enough meat to last them for 2 or more months.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sampuli kutoka kila huduma zitasambazwa kwenye vikundi vifuatavyo vya umri: < miaka 5, miaka 5-17, miaka 18-64 na miaka 65 au zaidi

영어

samples from each practice would be spread across the following age groups: < 5 years, 5-17 years, 18-64 years, and 65 years and older

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kizazi cha hivi punde cha virusi vyote ya korona (mrca) kinakadiriwa kilikuwa hivi karibuni kama 8000 bce, ingawa mifano kadhaa huchukua nafasi ya kizazi cha kawaida kwa miaka milioni 55 au zaidi, ikimaanisha inashirikiana kuwa muda mrefu na aina ya spishi ya popo na ndege.

영어

the most recent common ancestor (mrca) of all coronaviruses is estimated to have existed as recently as 8000 bce, although some models place the common ancestor as far back as 55 million years or more, implying long term coevolution with bat and avian species.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@simsimt: katika jengo la #niss, nilistahimili karibu saa 4 au 5 za kutukanwa, kupigwa na vitisho vya kila aina ili tu nifungue simu yangu #sudanrevolts

영어

@simsimt: at #niss building, i endured almost 4 or 5 hours of verbal abuse, severe beating up and all kind of threats to unlock my phone #sudanrevolts

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,740,583,367 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인