검색어: tatizo kubwa ninalo mimi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

tatizo kubwa ninalo mimi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ufisadi ni tatizo kubwa naijeria.

영어

@nigeria...corruption is nigeria's biggest problem.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hili ndilo tatizo kubwa kwa sasa, sijui kama bado ni

영어

this was the main problem, now i don't know if it's still the one

마지막 업데이트: 2023-09-15
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ghana tayari ina tatizo kubwa la namna ya kuwafanya vijana waendelee kulima.

영어

ghana already has a major problem keeping young people in farming.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nchini misri, udhalilishaji wa kijinsia ni tatizo kubwa, na ndilo jambo linaloongozwa kupingwa na wamisri.

영어

in egypt, sexual harassment is a serious problem, and one which more and more egyptians are speaking out against.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uhuru wa kujieleza pia ni tatizo kubwa katika visiwa vidogo ambako makabila madogo yanaonyesha upinzani kwa dola ya indonesia.

영어

freedom of expression is also a huge problem on islands where ethnic minorities show their resistance toward the indonesian state.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama mugabe anaweza kufungua mdomo wake kuuita naijeria kuwa inanuka rushwa....basi ni wazi tunalo tatizo kubwa...tena kubwa sana!

영어

looooool if mugabe can open his mouth to call nigeria corrupt ...then its obvious we have a problem...very huge problem! — zainab.k (@mayowakay) april 14, 2014

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

upatikanaji wa dawa pia ni tatizo kubwa kwa kuwa kuna tatizo la kukosekana kwa usimamizi madhubuti wa dawa na taarifa za upatikanaji wa dawa pamoja na taratibu za usambazaji zinazokwamisha mgawanyo sahihi.

영어

availability of medication is also a real problem because the systematic failures in drug management and inventory tracking as well as distribution logistics hamper proper distribution of medications.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

guinea, ambayo tayari ilishakabiliwa na tatizo kubwa la kiuchumi miongoni mwa raia wake kabla ya kulipuka kwa ugonjwa huu, hadi sasa imeshaathiriwa vibaya na gonjwa hili. has suffered the brunt of the epidemic.

영어

guinée, which was already in the throes of severe socioeconomic problems before the virus' outbreak, has suffered the brunt of the epidemic.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hili ni tatizo kubwa sana katika afya ya jamii lililo na madhara makubwa kwa watu wanaohitaji msaaada wa haraka katika eneo lililo na kiwango cha ongezeko la ugonjwa huu kwa asilimia 20 na ambapo kwa kila mtoto mmoja kati ya watoto watano walio na anemia huwa katika hatari ya kupoteza maisha baada ya kufikisha miaka mitano.

영어

this is a critical public health problem that has a dramatic impact on the neediest inhabitants in a region with nearly a 20 percent disease rate and where one out of five children with major sickle-cell anemia is not likely to survive past the age of five.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lazima wajenge hali ya kutokuwaamini kirahisi wanasiasa na wawaulize maswali mazito wanapogombea nafasi za uongozi….vyama vya kiraia, makanisa, vyama vya kisiasa na sisi sote lazima tushinikize kupunguzwa kwa madaraka ya watalawa, ambalo kwa hakika ndilo tatizo kubwa linalotukabili.

영어

they should adopt a skeptical disposition and thoroughly question prospective candidates ... civil society, the church, political parties and all of us must press for a drastic reduction in the powers of the executive, arguably the greatest single problem.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tumepata sheria ambayo inaelekeza kuadhibu ubakaji, na ambayo imebanua tafsiri ya ubakaji na kujumuisha watu wengi zaidi - wakati tatizo kubwa lilikuwa kwamba watu waliokuwa wanabakwa kwa mujibu wa tafsiri na adhabu za zamani hawakuwa wanatendewa haki katika nchi ambayo kuna ubakaji kw akila dakika saba, lakini hakuna hata tukio moja la ubakaji linahukumiwa.

영어

we got a law that upped the punishment for rape, as well as broadened the definition to rape in a grand promise to more and more people – when the fundamental problem was that people who were raped as per the old definitions and punishments weren’t getting justice already in a country with one rape in seven minutes, but not one rape judgment.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,742,678,724 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인