검색어: tiketi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

tiketi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

tiketi linapatikana kwa euro 20.

영어

tickets cost € 20.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika baadhi ya visa hiyo inamaanisha tiketi ghali zaidi.

영어

in some cases that means more expensive tickets.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya taarifa zinadai kuwa tiketi zote zimekwishauzwa hivi sasa!

영어

some reports claim that tickets are now entirely sold out!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hakuna atakayenunua tiketi ili eti jamaa ampigie kelele za vuvuzela mechi nzima!

영어

i’m fully aware that it is the country’s soccer culture, but it has to be done away with! nobody will buy a ticket to have some guy blow the crap out of a vuvuzela throughout the match!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ili kununua tiketi ya safari kama hii, huenda ukalamizika kuwasiliana na ndege au utumie muuzaji asiyejulikana sana.

영어

to buy a ticket for an itinerary like this, you may have to contact the airline or use a lesser-known aggregator.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waziri mkuu mstaafu wa tanzania na mgombea urais kwa tiketi ya muungano wa vyama upinzani, edward lowassa.

영어

former tanzanian prime minister and main opposition presidential candidate edward lowassa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

epuka kununua tiketi zinazounganisha safari katika eneo lililoathirika - hata kubdilisha ndege kunaweza kufanya uwekewe vikwazo.

영어

avoid buying tickets with a connection in an affected area – even changing planes can make you subject to restrictions.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

charles el melieani katika jarida la jol anaandika kuwa idadi kubwa ya tiketi iliyovunja rekodi zimenunuliwa kwa ajili ya mashindano haya.:

영어

charles el meliani on jol press writes that a record number of tickets were sold for these games:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

harraca alilieleza gazeti la ajentina clarín kwamba baada ya kuthibitisha kwamba walikuwa wamekata tiketi kwa ajili ya kushuhudia mpambano huo wa ajentina, yeye na rafiki zake walitaka kufanya jambo tofauti kusherehekea.

영어

harraca explained to argentinian newspaper clarín that after confirming that they had tickets to see argentina play, him and a group of friends wanted to do something different to celebrate.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

haji, ambaye katika chaguzi za miaka kadhaa iliyopita amekuwa akigombea kwenye nafasi za kitaifa kwa tiketi ya vyama vya upinzani, alikuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano hadi kipindi lowassa anaihama ccm.

영어

haji, who has run on opposition tickets in tanzanian presidential elections in the past, was minister of infrastructure and communications until lowassa defected.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ikiwa umekwama kwa sababu ya janga hili, ubalozi wako ulio karibu unaweza kukusaidia kupata ndege ya kukupeleka nyumbani, kupanga mkopo wa dharura ili uweze kununua tiketi, au kukupa pasipoti ya dharura.

영어

if you have been stranded due to the pandemic, your nearest consulate may be able to help you find a flight home, arrange an emergency loan so you can buy a ticket, or provide an emergency passport.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tajiri mwingine mashuhuri sana, u zaw zaw, ambaye ni rais wa shirikisho la soka la myanmar alitangaza kuwa atachangia tiketi 1,000 za ndege kwa wote wanaohitaji kurudi nchini myanmar, pamoja na kuchangia dola za kimarekani 20,000 kampung ffss.

영어

another well-known wealthy personnel, u zaw zaw, who is president of myanmar football federation announced that he will donate 1,000 air tickets for those who want to go back to myanmar, plus additional $20,000 us dollars donation to kampung ffss.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mfano, aprili 2011, ezekiel wenje, mbunge wa kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani, chadema aliamsha hasira ya spika anna makinda kufuatia matamshi yake kuwa baadhi ya nyadhifa fulani za serikali zinachaguliwa kupitia “njia za udanganyifu”.

영어

in april 2011, for example, ezekiel wenje, a member of parliament (mp) from the leading opposition party chadema, drew the ire of the speaker anna makinda with his comment that certain government positions are selected via the 'dark market'.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,749,096,609 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인