검색어: toleo la mamlaka ya cheti la microsoft (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

toleo la mamlaka ya cheti la microsoft

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

asubuhi ya februari 18, 2014, wapinzani wa serikali walijaribu kuwasilisha muswada bungeni ili kurudisha toleo la zamani la katiba ya nchi hiyo, ambalo lilidhibiti mamlaka ya rais.

영어

in the morning of february 18, 2014, ukraine's opposition tried to register a bill in parliament to bring back the old version of the country's constitution, one that significantly limits presidential powers.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mkutano wa mwaka 2015 ulihusisha siku nne za mikutano ya ndani, na ulihitimishwa kwa kongamano la wazi lililofanyika katika jengo la provincial capitol la mamlaka ya jiji la cebu lililojadili dhana kuu ya uhuru wa mtandao wa intaneti.

영어

the 2015 summit included four days of internal meetings, and culminated in a public conference at the cebu provincial capitol on the theme of the open internet: local perspectives, global rights.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini kwa bahati nzuri kifaa mithili ya eropleni kilichofungwa kamera kiliweza kutuchukua picha za video tukiwa mbele ya jengo la provincial capital la mamlaka ya jiji la cebu majira ya mchana wa januari 25, 2015, kikiwa umbali wa mamia kadhaa ya futi tokea ardhini, tukiwa ni sehemu tu ya wanajamii wa global voices tuliokuwa tumekusanyika katika muonekano wa kipekee kabisa-na ikizingatiwa namna tulivyokusanyika hivyo kwa haraka-mpangilio wa mstari mmoja na mduara uliowakilisha miaka 10 ya kuwepo kwetu.

영어

but fortunately the drone-mounted camera that filmed us in front of cebu city’s grand provincial capitol building on the afternoon of january 25, 2015 hovered only a few hundred feet above us, a fraction of the global voices community assembled into a very respectable-looking—considering how quickly we did it—column-and-circle formation representing the 10 years of our existence.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,766,188,996 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인